Kusomea Bachelor Degree ingine

Congratulations mkuu! Hakika umepambana

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Umri wowote unaweza kutimiza ndoto yako!Wakati nasoma MD kulikuwa na classment wangu alikuwa na umri wa miaka 38yrs tukiwa first year.Backgroung yake alikuwa na Advanced diploma in clinical medicine (AMO)
Jomba huwa tunajifariji tu ila umri ni kitu kikubwa sana. Kwa mfano mwanamke ambaye kafika 40 hana mtoto anajisikiaje? Umri sio kitu kwenye kutafuta hela tu ila kuna mambo mengi yanahusu sana umri. Kwa mfano mtu mwenye miaka 40 ni ngumu kupata ajira za jeshi.. elimu inatakiwa mapema. Mimi nashauri wazazi wawasaidie watoto kusoma wanachopenda.
 
Anhaa nina Bsc in Nutrition pia , je kusomea bachelor ingine tajwa hapo juu haiwezekani?
Usiangaike kutaka kusoma degree nyingne itumie iyo bacherol yako kupata ajira kam bado haupo katika ajira wizara ya Afya inawahitaji watu kam nying kwa ajir y nutritional public awareness malnutrition moreover unaweza kujiajiri kwa kuanzisha vituo lishe otherwise uende masters degree public health au mastera ya manangement nyingine. Upo sehem sahihi kijana
 
aisee watu wasije jaribu hii kitu kabisa miaka hii .
your very lucky few who made it..
MD MIAKA HII AMNA ISSUE AISEE. AMNA viJIWE, SPECIALIST KIBAO.
IN 10 YRS MAMBO YATAKUWA OVYO. GOVERNMENT EMPLOYEMENT YOU HAVE TO WAIT FOR 3-4 YEARS. NA KWENDA KUSOMA NI MORE Years. WATU WANAELIMU KUBWA SANA MTAANI. MD SIO COURSE YA KUINVEST. masters yake tu ada ni 10 plus na heavy weight
. ENGINEERING Is the way.
 
miaka hii soo miaka yake. I doubt una toboa kila hisi hivyo. its a long painful lucky path
 
Kama wasomi ndo hawa hakika msukuma ataendelea kutamba bungeni akijiita la 7 A.

Na hapa ume graduate kabisa,
 
Utofauti wako na yeye, wewe ulisoma ukiwa umeajiliwa ulikuwa hauwazi tena ajira, kwa hili kila mtu anaweza.

Mwenzetu tunamshauri aombe diploma in clinical medicine asome miaka 3, akimaliza aende MD 5yrs, kila la heri

Kwa maana CBG walikuwa wanasoma pharmacy zamani na MD, kabla vigezo hawajabadili maana hata akiomba hawezi kuchaguliwa.

Kila la heri tunahitaji MD wengi.
 
NILICHOGUNDUA WABONGO TUNAISHI KWA KUKARIRI MAISHA NA HII IMESABABISHWA NA WATANGULIZI.
But all in all huwa naamini sana katika ndoto.
 
Namsuhukuru Mungu nilichomoka ,ulimweka paper lilikuwa gumu sana !!!Hapo darasa zima division II zilikuwa 2 !
Nakumbuka hilo balaa... kuna dogo alikuwa na One kali form IV ila six akagonga sifuri. Dogo hakukata tamaa na kwa sasa yuko ofisi ya mkemia mkuu ni mtu anakunja noto ndefu sana. Baada ya six ilibidi aanzie Diploma pale DIT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…