Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa.

Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
 
Good idea ni ku deal na familia yako.
Wape elimu bora watoto wako.
Hakikisha wamesoma shule bora kuanzia kindagarten to A level.
Chuo kikuu jikongoje mfukoni wakasome nje mfn China au USA.

Watakushukuru sana kama baba umewafanyia kitu bora sana.

Hivi ndivyo wanavyofanya wanasiasa wetu.
Watoto wao wewapa elimu bora kiasi kwamba hata ikipatikana nafasi BOT tu CV zao zinawapa nafasi ya akufanya kazi huko.

CCM siyo chama cha siasa. CCM ni secret society kama ilivyo illuminati,freemason,rotary club, Vatican city na CCP.

Hii taasisi siyo chama cha siasa na haitokaa ije iwe chama cha siasa.

Chama ghan cha siasa kipo katika kila mhimili na taasisi nyeti za nchi?
Kuna wanajeshi wana kadi za ccm,kuna mahakimu wana kadi za CCM, Mapolice ni ccm damu... Jecha wa Zanzibar aliomba idhini ya kugombea urais. Haluna chama cha aina hii duniani.
MTAJI WA CCM NI NINI?
CCM mtaji wake ni ujinga wa wananchi, kadiri wajinga wanavyokuwa wengi ndo ccm inapata nafasi ya kututawala vizuri. Hakuna binadamu aliyeelimika ambaye anakubaliana na ushenzi unaofanywa na hii system.
Ndo maana suala la kuboresha elimu yetu siyo kipaumbele cha ccm kabisa coz hata watoto wao hawasomi huko.

Hii nchi haishangazi mwanafunzi kafaulu darasa la saba lkn hajui kuandika wala kusoma.
So namna pekee ya kupambana na hiki chama ni kuihangaikia familia yako elimu bora.

Ndo maana CCM haina pumzi katika mikoa iliyoelimika
Mfano Kilimanjaro ambapo shule nyingi ni private.

Mtaji wa pili ni umasikini.
Wingi wa masikini ndo wingi wa washabiki wa ccm. Pesa ina kiburi na inakupa mote options, hili CCM hawalihitaji kabisa. Zuio la machinga ni mfano hai wa kulinda uhai wa hii taasisi. 2015-2021 mmeona jinsi wafanyabishara walivyofilisiwa.
Mfano mzuri ni issue ya Sabaya na tabia zake za ujambazi na Bashite na kupakazia kesi maatajiri ili wampe magari.

Mtaji wa tatu wa CCM ni kutokuruhusu dual citizenship (uraia pacha).
Licha faida lukuki za Uraia pacha ila ni hatari sana kwa CCM. Imagine Tundu Lisu ana uraia wa belgium na Tanzania hii inamaana atafanya siasa zake kwa amani coz hakuna wasiojulikana watakaomgusa tena. Pia dual citizenship itaonheza matajiri coz mazingira uwekezaji yatakuwa salama. Mfano mimi ni mkenya nitawekeza bongo coz nitakuwa nina haki kama raia.

Mtaji wa nne wa chama chetu pendwa cha ccm ni uongo. Aise hiki chama kina binadamu waongo hadi sio pow.
Cc PM alipotupa taarifa kuwa jpm yuko hai anapiga kazi wakati mzee wetu alikuwa ameshatangulia mbele za haki. Haya maneno aliyasema akiwa msikitini just imagine msikitini mtu aongopa.

Mtaji wa tano wa CCM ni udhaifu wa vyama vyetu vya upinzani. Hivi vyama havimjui adui yao siyo ccm kama chama cha siasa ila ni ccm kama chama dola. Ccm ni system iliyoji integrate katika kila mhimili.
Kwa mfano wa Jecha ina maana hadi ndani ya tume ya uchaguzi kuna uccm
Kukiondoa chama kama hiki ni kufahamu namna ya kudeal na chama dola kwa kutengeneza msingi kutokea nje na siyo ndani coz jeshi police magereza wote hao ni sehemu ya ccm.
 
Back
Top Bottom