Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Hii ni miongoni mwa blunders za hovyo mno za kisiasa, miongoni mwa wanasiasa waliokosa agenda za kuwashawishi na kuvutia kundi kubwa la wapiga kura kuwa upande wao. Mara nyingi wanasiasa hao husense kushindwa uchaguzi mapema sana.
Na daima,
hatua hii ya kususia uchaguzi, huwa ni sawa na ile ya kichaa au mtu mwenye changamoto ya afya ya akili, ambae huwaza, huamua na kutenda vitu ambavyo vinamuathiri, vinamuumiza na kumdhuru mwenyewe.
Kwa mfano,
Sote ni mashahidi kwamba, athari za kisaikolojia kwa waliosusia uchaguzi mkuu wa 2025 Tanzania zinaonekana wazi wazi kabisa. Waathirika wanaonyesha walivyo na stress za kiwango cha juu sana, huku kila mTanzania alie kinyume na maoni yao wakimuona kama adui yao. Wamekua wakali vibaya sana, yaani imekua hakuna lililojema au zuri kwao, yote ni machungu.
Mihemko isiyokoma, kutukana na kuporomosha matusi dhidi ya wasiowaunga mkono, ndio imekua wimbo wa utambulisho wao kwa jamii na faraja pekee kwao.
Ili kufurahia maisha,
jali sana na kuitunza afya yako ya akili.
Epuka kuchukua uamuzi au kufuata mkumbo kufanya uamuzi wenye kukuumiza na kukudhuru wewe mwenyewe kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi na itapendeza zaidi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania