Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Mkuu kama cjakuelewa vile ?akianza kubleed huwa naacha kabisa Mpaka anapomaliza ndio nasex tena akimaliza napitisha kama saa 24

Mkuu sperm ni lazima zikomae ndo zinakuwa na uwezo wa kutunga mimba, kwa hiyo unatakiwa mkeo akianza kublid tu usimlombe wala kutoka nje, unatakiwa uache sperm zikomae ili ukija kumlomba siku hiyo ya 11-14 yai linakuwa limekomaa tayari kwa kileta matunda mazuri baadae.

Natumai utakuwa umeelewa.
 
Vizur sana mkuu thnx kwa yote
 
binafsi nimeelewa ila nilitaka kuuliza lbd nawale watoto wanaozaliwa na jinsia zaidi ya moja inakuaje?? au ndio mipango ya shetani?
 
Huyo ni mhanga wa njia za uzazi wa mpango za kisasa, acheni kutumia hizo njia za uzazi wa mpango

Mkuu mke wangu anatatizo wamemwambia tatizo lake. Ni homon imbalance. Cjui nifanye nn I real like kupata mtoto ni mwaka na miez sasa tangu nioe. Siku zake zinakuja bila mpangilio baada ya miez 2.mara siku 70 Cjui hata nifanye nn
 
Ninapata tabu kuelewa japo maelezo ya mwenye post ni sahihi. Kuna ambao huwa hawana yai la kiume moja kwa moja. Mfano Dr. wangu fulani ana binti 7 bila men hata moja. Je hajui hiyo kalenda au ana laana?
 
Labda huyo Daktari alipanga apate watoto wa kike tu!! Ni utani tu.
 
hapo kwenye ute mzito na mwepesi mi ndo pananichanganya.
 
Huyo ni mhanga wa njia za uzazi wa mpango za kisasa, acheni kutumia hizo njia za uzazi wa mpango

unaonaee tukiwaambia acheni hayo.madawa ya.wazungu hawasikii..hasa nyie mabint ambao mmezigeuza njugu hasa oral pills wakat hata hamjazaa..
 
Kwenda huko, aliyekwambia mimi nina shida ni nani? Mie nime-quote post ya mtu mwingine kumjibu wewe unanitolea povu, hebu nipishe huko mie

anzisha topic yako usichomekee hapa ili usaidiwe..
 
Mwanaume ana xy na mwanmke ana xx, kwahiyo mwanaume ndie anaedetermine jinsi ya mtoto, mwanaume anatoa x-sperm na y-sperm,
y-sperm zina saizi ndogo hivyo kusaidia kukimbia (they are very fast swimmer), na hupendelea alkaline condition for them to survive, sperm hizi licha ya kuwa na spidi kubwa, hazina maisha marefu (they can not survive long), zinauwezo wa kuishi masaa 48=2 days.
Kwa hiyo ukitaka mtoto wa kiume unashauriwa kujamiiana siku ya ovulation-siku ya 14 baada ya hedhi.

X-sperm zina saizi kubwa hivyo huwa na mwendo wa taratibu sana, hivyo huchelewa kulifikia yai. Licha ya kuwa na spidi ndogo x-sperm zinauwezo wa kuishi mda mrefu kuliko y-sperms, zinaishi masaa 72.
Kwa hiyo kama unataka mtoto wa kike unashauriwa kujamiiana kila siku kuanzia siku ya mwisho ya hedhi mpaka siku ya 12 na mwanamke asipige bao (x-sperm are favoured in acidic medium)
baada ya hapo usijamiiane tena mpaka siku ya 17 au 18 baada ya hedhi.

Kwa maelezo zaidi tembelea baby centre.com
 
kaka nimesoma sana majibu ya watu walio jaribu kujib. wao wanaochangia kwa kujua na wapo ambao wanachangia kwa kile walichosikia wapajuapo, but katika vitu uvitakavyo, kuna mitihani miwili igumu sana, wwa kwanza ni jinsi yakujua mzunguko wa mkeo, hapa uwa hapatulii ni research ya mpaka miezi 10, so wakati mwingine mabadiliko ya siku huwa yanachanganya either kwa kupungua au kuongezeka. so kwanza tambua mzunguko wake kwa uhakika. mtihani wapili ni kwamba kari msichana anavyozidi kukuwa umri na muda wa yai lake kusubiri kurutubishwa linapo pevuka huwa unapungua, ila max ni masaa 4 yai likikuta hakuna mbegu uwa linakuwa limesha haribika. so mfumo wa mbegu kuingia ktk yai uwa ni wa kusubria yai likute mbegu na si mbegu zikute yai japo ili nalo lipo ila ni lakubahatisha. so ukiweza jua hayo juu ya mtoto wa jinsia gani uwa ni swala la kuamua tu.
 
Barca uko sahhi kabisa, coz cku ya 10-13 is for female na cku ya 14-17 for male.nmejarbu na nmefankiwa mwnyewe sio uongo
 
Habari wana JF naombeni kujuzwa namna ya kupata mtoto wa kike, mama yoyoo wangu huwa anaingia M'period tarehe 18 takribani kwa kila mwezi. Afu uzazi wa mpango kwa njia ya kalenda mie bado unanichanganya, manake siuamini. Msaada na ushauri

KARIBUNI!!!
 
Back
Top Bottom