Mwanaume ana xy na mwanmke ana xx, kwahiyo mwanaume ndie anaedetermine jinsi ya mtoto, mwanaume anatoa x-sperm na y-sperm,
y-sperm zina saizi ndogo hivyo kusaidia kukimbia (they are very fast swimmer), na hupendelea alkaline condition for them to survive, sperm hizi licha ya kuwa na spidi kubwa, hazina maisha marefu (they can not survive long), zinauwezo wa kuishi masaa 48=2 days.
Kwa hiyo ukitaka mtoto wa kiume unashauriwa kujamiiana siku ya ovulation-siku ya 14 baada ya hedhi.
X-sperm zina saizi kubwa hivyo huwa na mwendo wa taratibu sana, hivyo huchelewa kulifikia yai. Licha ya kuwa na spidi ndogo x-sperm zinauwezo wa kuishi mda mrefu kuliko y-sperms, zinaishi masaa 72.
Kwa hiyo kama unataka mtoto wa kike unashauriwa kujamiiana kila siku kuanzia siku ya mwisho ya hedhi mpaka siku ya 12 na mwanamke asipige bao (x-sperm are favoured in acidic medium)
baada ya hapo usijamiiane tena mpaka siku ya 17 au 18 baada ya hedhi.
Kwa maelezo zaidi tembelea baby centre.com