Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini?
Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo ataonyesha mambo ya msingi kujua kama hapo una mke au hakuna kitu.
Akianza kulaumu waliomtoa bikira. Huyo hakuna kitu kwa sababu hakubakwa. Hakuwahi kuolewa.
Lakini akisema anajihisia hatia kwa maamuzi mabaya aliyoyafanya, kufanya zinaa na wanaume ni moja ya mambo yanayomuuma, na anaomba msamaha kwa Mungu kila siku. Huyo anafaa.
Iko hivi sio kila mwanaume duniani aliwahi kukutana na mpenzi mwenye bikira. Kwa sababu bikira itaondolewa na mwanaume mmoja tuu. Ila mwanaume anaweza kutoa wanawake hata elfu moja bikira.
Niliwahi kuwakemea wanawake wanaosema oooh! Hizo bikira mnazitoa ninyininyi wanaume.
Nikawaambia ukiita wanaume kumi hivi leo, wanaume saba hawajui na hawajawahi kukutana na mwanamke bikira. Kumaanisha watatu kati ya saba ndio walikutana nazo.
Leo hii ikitokea amri kwamba wanawake waende kwa wanaume waliowatoa bikira. Nina hakika wapo wanaume watapata wanawake mpaka 100 huku robo Tatu ya wanaume duniani wakibaki bila wanawake.
Ni haki yako kuulizia bikira. Hasa ukiwa kijana mdogo chini ya miaka 40.
Huwaga nashangaa wanaosema wanawake bikira hawapo au single mother wamejaa. Na bikira hazipatikani. Nashangaa sana. Hii propaganda lengo lake ni lipi.
Mwanamke Bikira ni haki yako kama kijana.
Mwanamke wa ujana wako ni yule uliyembikiri na sio vinginevyo.
Sisi Watibeli, mwanamke ukishampata bikira ukamuoa kama mkeo. Huyo ndiye mkeo kikamilifu.
Wewe kwake ndiye namba moja. Huyo hata aharibike sijui awe kitu gani bado wewe ndiye Namba moja.
Na siku zote Namba moja ni Namba moja. Awali ni awali tuu.
Nafahamu wapo wanawake ambao hawajaolewa wakiwa na hizo bikira. Wanaweza kuona nawasagia kunguni, au ambao hawajaolewa na hawana bikira.
Ikiwa upo kundi hili, washukuruni sana wanaume watakaowaoa. Shukuruni sana. Waheshimuni sana.
Hakuna kazi ngumu kama mwanaume kujiamini kwa mwanamke ambaye ulimkuta hana bikira. Wanaume wengi hawanaga imani na wanawake zao. Ingawaje hawatasema.
Mwanaume aliyeoa bikira mara nyingi hujiamini. Yaani mkewe hata akianza umalaya, mwanaume atasema sikumkuta akiwa malaya, ameanza siku hizi tuu.
Lakini kama hukumkuta bikira kwa kweli inakuwa kipengele. Unashindwa umteteeje mwanamke wako.
Hata kama sio Malaya unahisi anafanya umalaya.
Ukiambiwa mkeo ni malaya, kimoyomoyo unashindwa kupinga hiyo kauli kwa sababu huna uhakika wa kumtetea. Kwa sababu hukukuta bikira.
Mwanamke bikira utamfundisha wewe umalaya.
Mwanamke asiyebikira kuna waliomfundisha umalaya.
Fikiria mwanamke anaruka ukuta kwaajili ya mwanaume mwingine huko kabla ya wewe kuwa naye.
Fikiria mambo unayoyafanya na wanawake huko ndivyo mwanamke utakayemuoa anafanyiwa au alifanyiwa.
Hayo mambo ukioa bikira huwezi kufikiria hata kidogo. Kwa sababu yote wewe ndiye muanzilishi. Wewe ndiye mwalimu.
Sabato njema
Nimemaliza
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam