Hii sekta isikie ukiwa nje, ingia ndani uje ucheze mchezo unaitwa professionalism v/s politics... Diwani akipambana na watumishi wa afya ili apewe sifa, kumbe in behind wanaua molari ya kazi na watumishi, death lazima zitokee tu huduma zita zorota jamii haijui kwamba u dr ni skills sio kusomea, unapo mshurutisha dr unapo mharibu kisaikolojia hata ifanya kazi yake katika skills zake, malipo duni+ stress za maisha zinaua skills, skills zinashuka pale thinking capacity inapokuwa low after being occupied na challenge za kazi na maisha, sijui nani ataiokoa hii sekta, sjui nani nchi hii itaithamini hii sekta, kwa wanasiasa ni sehemu ya propaganda zao, propaganda zilizojaa majigambo kuwakomesha matumishi wake, tena watumishi wanao tumia skills zisizo za kawaida kufanya kazi... Marekani clinicians na watu wanao practise sheria ndio big earns kwenye kipato chao, wanajua watu wao hawatakuwa salama kama wale jamaa hawata kuwa balanced bila kuwa na changamoto za kimaisha kutokana na kipato. Tz tumepoteza drs wengi sana kwenye nchi za Sadc, dr wengi waliopo Namibia, Botswana ni wa Tz, hawana mpango kurudi bongo... Wacha wale maisha huko bongo nyoso, mtu ana degree ambayo mwisho wa siku unakuwa honored as a Dr then unazinguliwa kiasi cha kukosa usingizi na kajamaa hata darasa la saba kisa hujamchoma mtu chanjo ya TT aliekuwa exposed? Wakati unajua kabisa kama kesha pata tetenus ukimchoma chanjo ambayo ni live attenuated utammaliza ila diwani anataka watu wachomwe..... Siasa vs taaluma, kwa mtu alie nje ya hii kada hawezi jua haya, ataingia tu kwenye mkumbo, kazi kwenu, discussion njema iam out