Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?
Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.
Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.
Asante
Kwani uwa inasahishwa na nani mkuu?Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Ungefuatilia baraza la mitihani, nilishawahi kuona mwanafunzi tuliekua tunamuamini sana kwamba afaulu somo la dini ya kiislam lakini akapata DNilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Ungekuwa unajua namna mitihani inavyotungwa na kusahihishwa usingeleta hii mada yako hapa.Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?
Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.
Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.
Asante
Mkuru.pu.kaji sana weyehWe ile lugha ya mtume usiichukulie poa bila mijeredi huwezi kuishika,uliza walimu wa madrasa watakwambia bora kichina ni rahisi kuliko kiarabu
Hii kitu ipo Sana .......matokeo ya somo hili huwa ndo Ivo ...ukijitahid ukapata C we n mtabe sijui ni mini kinafanyika ....japo watu wanakaa kimya but naamini kuna kitu hakipo sawa.Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISM.
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
The end determines the beginning..wewe ulikua kilaza tu..kule kwingine ulibahatisha..necta ulikua pekeako ukakosa wa kuegelezea ndio mana ulifeli.Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)