Kutamani Kungonoka kila Dakika, Je, huu ni Ugonjwa?

Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.

Umenisababishia genye mapema hii.
 
Inaweza kuwa ni ugonjwa mpya wa "hypersexual disorder" ambao baadhi ya wataalamu wa jukwaa hili wanataka uingie kwenye edition ya 13 ya Manual ya Diagnostic and Statistical Mental Disorders itakayochapishwa mwaka huu.

Inadawaiwa kuwa dalili za "ugojwa" huu mpya ni kama ifuatavyo:

  1. Kutumia muda mwingi kufikiria na kutaka kufanya ngono (sexual fantasies?).
  2. Kutumia behaviours za ngono kudeal na stress za maisha au anxiety, depression, kuboreka, nk.
  3. kutojali harm (both physical and emotional) kwa wale wanaokusaidia kwa namna moja au nyingine ku-deal na hilo tatizo.
  4. Kuwa distressed kwenye maisha yako ya kawaida.
Kwa upande mwingine inawezekana kabisa wala huna ugonjwa wa aina hiyo. In fact, wanaotaka kutengeneza ugonjwa wameupa jina ambalo ni too broad kiasi cha kushindwa kutenganisha ugonjwa upi unahitaji medical treatment na upi hauhitaji. Pia inawezekana ni njia ya makampuni ya madawa kutaka kujitafutua soko jipya maana wamejihusisha sana kwenye hii kampeni.

Unless kutaka kungonoka inaadhiri shughuli zako za kila siku, kuna uwezekano kuwa una high sex drive na unapenda kungonoka. That is good for you na huitaji kuchukua vekesheni ya kutongonoka zaidi ya kuandaa katripu na mpenzio kwenda kwenye kisiwa mtakachokuwa peke yenu na kufanya real au kutimiza imagination zako.

Lakini kama kutaka kungonoka inaathiri shughuli zako za kila siku kama kufanya kazi, kulala, ku-socialise, n.k. hii inaweza kuwa ni "sexual compulsivity". Hii ni tofauti na "sexual addiction" japokuwa baadhi ya madaktari hawazingatii kabisa hizo tofauti. Ukishafika hapo, then kuna umuhimu wa kuonana na mtaalamu wa hayo mambo kwa ushauri wa kitaalamu.

Lakini nadhani mara nyingi mtu anajihisi kuwa ni "sex addict" kutokana na kumhisi mwenzake au mwenzake kujihisi kuwa ni "undersexed." Ni kutokana na hiyo "sexual imbalance" basi mtu anaweza kujihisi au kuhisiwa ni "hypersexual". Tena mara nyingi unawezakuta kuna "power struggle" inaendelea ndani ya mahusiano na inapiganiwa kwenye kitanda.

Pia inategemea wewe na mwenzako mnavyoi-define sex. Unawezakuta defintion yako ya sex ni broad kuliko ile ya mwenzako.

Huu ni ushauri binafsi na na usichukuliwe kama ni ushauri wa kitaalamu. Ukitaka ushauri wa kitaalamu waone "professionals". Maumivu yakizidi, badala ya kusubiri ambulance, mwone "daktari" fasta.
 
ka ugonjwa kazuri sana hako inavoonekana
 
Inawezekana matatizo yako yapo kisaikolojia zaidi. Hapo mwanzo ulipokuwa mnene ulikuwa hujaridhika na muonekano wa mwili wako, baada ya kupungua uzito umerudisha confidence yako hivyo anajaribu kuover compensate for previous inconfidences. Jaribu kumwona Psychologist anayespecialize kwenye mambo ya sexual disorders.
 
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.

Njoo kipande hii nikupatie dawa.
 
Wengine ndio washaona njia ya kumtaka Madame B kingono. Madame B chuja pumba na mchele!
 
Last edited by a moderator:
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.

worry out my friend I'll buy a dildo for you..right!
 
Tafuta majani ya mpera chemsha na umix na tablesalt + manganis 2 + sodium + 2 spoon ya mkojo wako wa asubui then kunywa hiyo solution kwa Muda wa 7dayz na unjwe kila afta 6hrz
 
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.
Kama shemeji unamudu kukuhudumia kila mara unapomhitaji afanye hivyo, mie sioni kama ni tatizo! Kula vitu mama, ila kama hajiwezi lol, hii itakuwa hatari maana usijeparamia waume za watu ukaingia aibu mtaani!
 
Madame B hauishi vituko mtoto wa kike. Kupenda kungonoka kuna mambo mengi sana,

1.0 Kama muda mwingi uko free na akili yako unaipelekea huko jua lazima nyege za kufanya mapenzi kila wakati. Suluhisho hebu jiweke busy muda mrefu na kama upo humu JF muda mwingi usiingie lile jukwaa letu la watu wazima ambalo kila mara majadiliano ni hayo tu.
2.0 Jaribu kufanya mazoezi yatakayouchosha mwili ili angalau hizo nyege zipungue maana mwili nao ukichoka hautamani mambo hayo.
3.0 Kama unaweza pendelea kufunga alteast mara mbili au tatu kwa wiki, mwili utachoka na akili kuhama. Kila mara utakuwa unajihisi unahitaji kufanya ibada ili uende sambamba na funga yako na zaidi ya hapo mwili nao utachoka na ukirudi home utakuwa unahitaji kupumzika.
4.0 Mwisho mwombe Mungu lakini ukisema kwa sababu kila mara unawaza kupelekewa moto ndiyo uitikie mwito wa mwili jua mwili wako utakuwa wa wote maana ni wanaume wachache wanaoweza kufanya mapenzi kila siku tena kwa kiwango unachokitaka.

Pole take care.

Asante Mzee wa Rula.
Nashukuru kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Working under the assumption kuwa kilichosababisha hilo "tatizo" ni hizo dawa, then ni lazima zilivuruga masuala ya ki'homoni katika mwili hivyo unachokiona ni matokeo ya hilo.

Kinachonishangaza ni kwamba unasema uliacha kuzitumia kama miaka mitatu imepita kama sijakosea, ningetegemea kuwa hiyo reaction ingeshaisha unles yale mabadiliko katika homoni yalikua irreversible.

Ila kama mabadiliko yaliyotokea katika homoni yalikua reversible, then jua kuwa saikolojia ya namna "ulivyotatua tatizo" wakati linaanza, (maana ulikua hujui chanzo) ndiyo inayokupa uhitaji ulionao wakati huu.

Tafadhali naomba utufahamishe content za dawa.

Yaani hapa nilipo hata sina kumbukumbu yoyote kuhusu ile dawa.
Japo nahisi haya mabadiliko yametokana na hyo dawa.
 
Duu, mm pia nina hiyo hali! am just born with it! mm sidhani kama nahitaji tiba, coz its my naturality! km vp nicheki nikuhudumie kipindi chote cha kuhangaika kutafuta tiba! the luck side of me is i can control!

nb:
am not kiding!

Poa mkuu.
 
Inaweza kuwa ni ugonjwa mpya wa "hypersexual disorder" ambao baadhi ya wataalamu wa jukwaa hili wanataka uingie kwenye edition ya 13 ya Manual ya Diagnostic and Statistical Mental Disorders itakayochapishwa mwaka huu.

Inadawaiwa kuwa dalili za "ugojwa" huu mpya ni kama ifuatavyo:

  1. Kutumia muda mwingi kufikiria na kutaka kufanya ngono (sexual fantasies?).
  2. Kutumia behaviours za ngono kudeal na stress za maisha au anxiety, depression, kuboreka, nk.
  3. kutojali harm (both physical and emotional) kwa wale wanaokusaidia kwa namna moja au nyingine ku-deal na hilo tatizo.
  4. Kuwa distressed kwenye maisha yako ya kawaida.
Kwa upande mwingine inawezekana kabisa wala huna ugonjwa wa aina hiyo. In fact, wanaotaka kutengeneza ugonjwa wameupa jina ambalo ni too broad kiasi cha kushindwa kutenganisha ugonjwa upi unahitaji medical treatment na upi hauhitaji. Pia inawezekana ni njia ya makampuni ya madawa kutaka kujitafutua soko jipya maana wamejihusidha sana kwenye hii kampeni.

Unless kutaka kungonoka inaadhiri shughuli zako za kila siku, kuna uwezekano kuwa una high sex drive na unapenda kungonoka. That is good for you na huitaji kuchukua vekesheni ya kutongonoka zaidi ya kuandaa katripu na mpenzio kwenda kwenye kisiwa mtakachokuwa peke yenu na kufanya real au kutimiza imagination zako.

Lakini kama kutaka kungonoka inaathiri shughuli zako za kila siku kama kufanya kazi, kulala, ku-socialise, n.k. hii inaweza kuwa ni "sexual compulsivity". Hii ni tofauti na "sexual addiction" japokuwa baadhi ya madaktari hawazingatii kabisa hizo tofauti. Ukishafika hapo, then kuna umuhimu wa kuonana na mtaalamu wa hayo mambo kwa ushauri wa kitaalamu.

Lakini nadhani mara nyingi mtu anajihisi kuwa ni "sex addict" kutokana na kumhisi mwenzake au mwenzake kujihisi kuwa ni "undersexed." Ni kutokana na hiyo "sexual imbalance" basi mtu anaweza kujihisi au kuhisiwa ni "hypersexual". Tena mara nyingi unawezakuta kuna "power struggle" inaendelea ndani ya mahusiano na inapiganiwa kwenye kitanda.

Pia inategemea wewe na mwenzako mnavyoi-define sex. Unawezakuta defintion yako ya sex ni broad kuliko ile ya mwenzako.

Huu ni ushauri binafsi na na usichukuliwe kama ni ushauri wa kitaalamu. Ukitaka ushauri wa kitaalamu waone "professionals". Maumivu yakizidi, badala ya kusubiri ambulance, mwone "daktari" fasta.

Asante sana mkuu EMT kwa maelezo yako mazuri.
Nakuahidi kuyafanyia kazi yale yote uliyonambia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom