Kutambulishwa ukweni na kutolewa mahari sio uhakika wa ndoa

Kutambulishwa ukweni na kutolewa mahari sio uhakika wa ndoa

Kuna dem uko instagram anaitwa manka katolewa mahar ila bado anaendelea kuinesha makalii yake IG. Namhurumia sana kijana aliyevalisha pete ilo bomu
Ukute Manka ndo ka-sponsor hata hiyo Pete. Vijana hamna maana siku hz
 
Shida umalaya na hawana akili ya maisha wao starehe tu
very true kuna wawili nilikuwa na date nao aisee ni bogus kabisa. hakuna kitu unaeza kufanya nae zaidi ya sex
 
very true kuna wawili nilikuwa na date nao aisee ni bogus kabisa. hakuna kitu unaeza kufanya nae zaidi ya sex
Yani wao ni starehe tu na kama ni mwanamke atakuwa anahonga wanaume wa kumlala wanaume ndo usiseme ndo shida. Kuna makabila umalaya huko damuni, sasa ukioa mke chupi mkononi ni chanzo Cha ugonjwa wa moyo.
 
Hali hii ni kweli huwatokea baadhi ya mabint kama mkosi vile! Inakuwa na yeye alishaumiza mtu/watu, ndo hapo ule usemi wa malipo ya unyama ni hapahapa duniani huwa unatimia!
 
Yes tulikaa pamoja kujadili nikamwambia mahari usinitajie kubwa (kwa imani ya dini yetu mahari anataja binti mwenyewe) kwahiyo nikampanga fresh na akakubali, tena nakumbuka nilimwambia anitajie laki tano.
Maana nilikuwa nishatengeneza kibanda cha wakala cha tigopesa bado kununua laini tu, na kilakitu alikuwa anajua.
Na kipindi hicho nilikuwa nimepunguzwa kazini yaani sina kazi na yeye anajua kuwa kazi nimeachishwa.
Baada ya kwenda kuchukua majibu naambiwa binti anataka milioni moja, na mkaja wa baba na mama laki nne Jumla milioni moja na laki nne. Wadau mnaweza kuibeza hii pesa na kusema sio nyingi ila kwa Mazingira yake na nilivyojitoa Kwake kwamtu mwenye akili asingetaka hiyo pesa, angetaka hata nimuoe bure kwa maisha yake yalivyo magumu.
Halafu cha ajabu sijawahi kumla na msimamo wake ulikuwa hadi nimuoe ndio tukutane, na kwamsisitizo wazee wake wakaandika mpaka kwenye barua ya majibu kuwa nisimguse binti yao, wakati tayari ameshazalishwa (single mother) na baba wa mtoto amemkimbia, na kwa huruma mimi ndiye nilikuwa nimebeba majukumu ya mtoto wake kwa kumlipia ada, nauli ya shule ya kilasiku, na nikamkatia bima ya afya.
Nikaona hapa hapanifai.
Hii kali
 
Nimewahi mimi binafsi,, nilitoa mahari, na kumvalisha pete baada ya miezi mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu, mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha ila mimi sikuhitaji suluhu nae tena.
Huyo mdada ni kiazi
 
Yani wao ni starehe tu na kama ni mwanamke atakuwa anahonga wanaume wa kumlala wanaume ndo usiseme ndo shida. Kuna makabila umalaya huko damuni, sasa ukioa mke chupi mkononi ni chanzo Cha ugonjwa wa moyo.
Pamoja mimi ni Mmakonde ila nadhani usijumuishe wote. Wahaya wa Muleba ndiyo unazungumzia pengine
 
Kuna dem uko instagram anaitwa manka katolewa mahar ila bado anaendelea kuinesha makalii yake IG. Namhurumia sana kijana aliyevalisha pete ilo bomu

Unadhani jamaa aliyemchumbia hajui hayo? Inawezekana hata walikutana huko huko gram.

That being said, toa handle ya Manka tukahakiki kama yasemwayo yana ukweli.
 
Pamoja mimi ni Mmakonde ila nadhani usijumuishe wote. Wahaya wa Muleba ndiyo unazungumzia pengine
Sio wote but majority of them, then it's hard for me to understand sijui mleba sijui karagwe Ila hyo uhuni ni Tabia yao kuuu aisee, Kama wamechanjiwa
 
very true kuna wawili nilikuwa na date nao aisee ni bogus kabisa. hakuna kitu unaeza kufanya nae zaidi ya sex
Wao ni starehe kubadilisha ma bar hata ka kaolewa na marafiki wengi wa hivo kina shomile
 
Back
Top Bottom