joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wacha wee.Niolewe wapi I'm feminist na Niko kwenye menopause sasa hivi sasa naolewaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee.Niolewe wapi I'm feminist na Niko kwenye menopause sasa hivi sasa naolewaje
Napenda comment zakoMimi Sijui....Ni Mungu tu anipiganie kwakweli....
We acha tuNapenda comment zako
Yes tulikaa pamoja kujadili nikamwambia mahari usinitajie kubwa (kwa imani ya dini yetu mahari anataja binti mwenyewe) kwahiyo nikampanga fresh na akakubali, tena nakumbuka nilimwambia anitajie laki tano.Mashart kama yapi, yasije kujikuta na mie [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi mliwekeana range yaan asizidishe kiasi flani?
Kweli mahari sio ndoa.
Nilizaa na demu wakaniletea zengwe ukweni hawanitambui mpaka nitoe mahari nioe na kumkomboa mtoto.
Nikatuma madingi dingi yangu mzazj nae akiwepo,kufika huko wapandishiwa dau na vijembe vya kutosha wakapigwa.
Ding kurudi home kamaindi kinona,akaniambia tumepigwa hela ndefu wakati demu mwenyewe ni mfupi afadhali angekuwa mrefu,nikaamua kumtema na kusamehe mahari mana demu alikuwa na nyodo pia.
Mahari ni Ndoa dogo...waulize wazee wako kabla hawaletewa dini za wazungu..? Shida mko brainwashed kiwango cha mwisho...ukishalipia mahari chukua mkeo mkaishi kisha nenda serikalini kuchukua cheti cha ndoa.Kweli mahari sio ndoa.
Nilizaa na demu wakaniletea zengwe ukweni hawanitambui mpaka nitoe mahari nioe na kumkomboa mtoto.
Nikatuma madingi dingi yangu mzazj nae akiwepo,kufika huko wapandishiwa dau na vijembe vya kutosha wakapigwa.
Ding kurudi home kamaindi kinona,akaniambia tumepigwa hela ndefu wakati demu mwenyewe ni mfupi afadhali angekuwa mrefu,nikaamua kumtema na kusamehe mahari mana demu alikuwa na nyodo pia.
😢😢Laki tano nyingi
Kuna binti namfahamu tunasali nae na ni rafiki wa mdogo wangu...alitolewa mahari 3 zikarudishwa (sababu hakutulia)..akaamua kumrudia Mungu mwaka Jana kaolewa na mkarismatiki mwenzie.
Kuna Dada namfahamu alitolewa mahari na sendoff ikafanywa..alikuja Achwa kwenye mataa siku ya ndoa dah!!..
😀😀Una aina 'fulani' za wadada unaowafahamu, wanafanana!
😀😀😀😀Yes tulikaa pamoja kujadili nikamwambia mahari usinitajie kubwa (kwa imani ya dini yetu mahari anataja binti mwenyewe) kwahiyo nikampanga fresh na akakubali, tena nakumbuka nilimwambia anitajie laki tano.
Maana nilikuwa nishatengeneza kibanda cha wakala cha tigopesa bado kununua laini tu, na kilakitu alikuwa anajua.
Na kipindi hicho nilikuwa nimepunguzwa kazini yaani sina kazi na yeye anajua kuwa kazi nimeachishwa.
Baada ya kwenda kuchukua majibu naambiwa binti anataka milioni moja, na mkaja wa baba na mama laki nne Jumla milioni moja na laki nne. Wadau mnaweza kuibeza hii pesa na kusema sio nyingi ila kwa Mazingira yake na nilivyojitoa Kwake kwamtu mwenye akili asingetaka hiyo pesa, angetaka hata nimuoe bure kwa maisha yake yalivyo magumu.
Halafu cha ajabu sijawahi kumla na msimamo wake ulikuwa hadi nimuoe ndio tukutane, na kwamsisitizo wazee wake wakaandika mpaka kwenye barua ya majibu kuwa nisimguse binti yao, wakati tayari ameshazalishwa (single mother) na baba wa mtoto amemkimbia, na kwa huruma mimi ndiye nilikuwa nimebeba majukumu ya mtoto wake kwa kumlipia ada, nauli ya shule ya kilasiku, na nikamkatia bima ya afya.
Nikaona hapa hapanifai.
[emoji22][emoji22]
Nyingi kweli ila inategemeana na khali ya kiuchumi ya muoaji
Hahaha dingi nomaKweli mahari sio ndoa.
Nilizaa na demu wakaniletea zengwe ukweni hawanitambui mpaka nitoe mahari nioe na kumkomboa mtoto.
Nikatuma madingi dingi yangu mzazj nae akiwepo,kufika huko wapandishiwa dau na vijembe vya kutosha wakapigwa.
Ding kurudi home kamaindi kinona,akaniambia tumepigwa hela ndefu wakati demu mwenyewe ni mfupi afadhali angekuwa mrefu,nikaamua kumtema na kusamehe mahari mana demu alikuwa na nyodo pia.
Hakika wewe ni feminist mkuu,heshima kwako.Niolewe wapi I'm feminist na Niko kwenye menopause sasa hivi sasa naolewaje
Hizo hazikua akili za huyo binti, kuna watu walimshauri.Yes tulikaa pamoja kujadili nikamwambia mahari usinitajie kubwa (kwa imani ya dini yetu mahari anataja binti mwenyewe) kwahiyo nikampanga fresh na akakubali, tena nakumbuka nilimwambia anitajie laki tano.
Maana nilikuwa nishatengeneza kibanda cha wakala cha tigopesa bado kununua laini tu, na kilakitu alikuwa anajua.
Na kipindi hicho nilikuwa nimepunguzwa kazini yaani sina kazi na yeye anajua kuwa kazi nimeachishwa.
Baada ya kwenda kuchukua majibu naambiwa binti anataka milioni moja, na mkaja wa baba na mama laki nne Jumla milioni moja na laki nne. Wadau mnaweza kuibeza hii pesa na kusema sio nyingi ila kwa Mazingira yake na nilivyojitoa Kwake kwamtu mwenye akili asingetaka hiyo pesa, angetaka hata nimuoe bure kwa maisha yake yalivyo magumu.
Halafu cha ajabu sijawahi kumla na msimamo wake ulikuwa hadi nimuoe ndio tukutane, na kwamsisitizo wazee wake wakaandika mpaka kwenye barua ya majibu kuwa nisimguse binti yao, wakati tayari ameshazalishwa (single mother) na baba wa mtoto amemkimbia, na kwa huruma mimi ndiye nilikuwa nimebeba majukumu ya mtoto wake kwa kumlipia ada, nauli ya shule ya kilasiku, na nikamkatia bima ya afya.
Nikaona hapa hapanifai.
Inawezekana ikawa hivyo, ila ndio sababu ya mimi kuachana nae.Hizo hazikua akili za huyo binti, kuna watu walimshauri.
Ila nawe ulipelekaje mbele tarehe pasipo kuongea nae? Au ulipoongea nae ndio akakuwakia?Nimewahi mimi binafsi,, nilitoa mahari, na kumvalisha pete baada ya miezi mitatu alinipigia kwa jeuri na kunitusi kisa nimepeleka mbele tarehe ya harusi hapo ndipo ukawa mwisho wa uchumba wetu, mama yake alichanganyikiwa alitaka wamuombee msamaha ila mimi sikuhitaji suluhu nae tena.
Niolewe wapi I'm feminist na Niko kwenye menopause sasa hivi sasa naolewaje