Pre GE2025 Kutana na Mbunge wa CCM asiyejua CT SCAN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio wale wanaotetewa na Mnyika kwamba kila jimbo liwe na wabunge wawili
 
Yupo mmoja wa upinzani alisema mother tongii!
 
Nimefanya T Scan yangu.

Na nilichogundua ni kwamba ameeleweka vizuri tu, manake akisemwa "amekosa akili" kwa kipimio chochote kile, iwe CT-Scan ama T-Scan majibu yanakuja yaleyale tu-Ukashifu.

Ameeleweka lasivyo isingejulikana alikuwa anasema kitu gani.

"😂😂😂😂TC-scan" Kajirekebisha jamani.
 
Sawa
 
Kwani Kuna shida Gani kama hajui?? Huenda Kuna upande mwingine Yuko vizur Zaid
Wala hakuna ulazima wa mim, wewe au yeye kujua Kila kitu isipokuwa inabidi ujikite kwenye jambo ambalo unaweza ukawa mzuri zaid
 
Ndo Taswira ya Taifa huko juu.....
T-Scan™ provides dynamic occlusal measurement - revealing the level and timing of force on individual teeth and the occlusal stability of the overall bite - bringing articulating paper marks to life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…