Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Aisee sawa sawa.Am
Kiongozi kama umeshawahi kufanya presentation huwezi kushangaa kitu kama hiki, Kuna wakati neno linapotea kabisa kichwani haijalishi unalijua au una uzoefu nalo kiasi Gani.
Kwangu mim naona ni Jambo la kawaida tu
Kuna mahali kasikia hiyo T scani basi nae kaja kuyamwaga bungeni.Hahahaha anaweza kukuuzia sumu
Ndio maana kuna sifia sifia nyingine mpaka unajiuliza kama msifiaji ana familia inayomuona yeye ni kichwa kweli..Swala la sheria ni swala nyeti linahitaji watu makini, wenye akili na uwezo mkubwa wa kuchambua mambo mbalimbali.....ila hapa injini kwetu ukijua kusoma na kuandika unafaa kabisa kuwa mtunga sheria.
Kuna kuchapia(ulimi hauna mfupa) ila kuna kukosea kutamka kwa sababu hujui kutamka kwa usahihi.watu tu wamemfikiria tofauti, sio rahisi aongee asichokijua na ndio maana imekua hoja hoja sasa hivi...
ni sawa tu na yule mh. aliwe wahi kusema naunga mkonyo hoja au yule aliewahi kusema SA wana chimba chima n.k π
hoja mitandaoni ikawa ni mkonyo na kuchimba chima but ilikua bayana mh alikua anamaanisha nini..
Yes,Kuna kuchapia(ulimi hauna mfupa) ila kuna kukosea kutamka kwa sababu hujui kutamka kwa usahihi.
Sio wanaotakiwa bali ndio wanaotutungia Sheria, we huoni REVIEW EDITIONS zinavyofanyikaga kila baada ya kiongozi mwengine akiingia madarakani kudhihirisha kuwa sheria nyingi zinazopitishwa na bunge hazikidhi kwasababu ya uweledi mdogo na ignorant people/ chawa wa bungeni kwa viongozi wa juu wa NDIOOOOOO bila kufikiria madhara wanayopata wananchi na jamii nzima katika utekelezaji wa hizo Sheria.Na ndio watu wanatakiwa kututungia sheria....π₯Ή
π΅Wabunge aina hiyo ndiyo wako mule na hawajui wanafanya nini mule,zaidi ya kulopoka tu
Ova
Si mshangazi mzuri mzuri....π π πMh.... Tambwe huyo namkubali huyu mama she is very bright japokuwa she is not educated enough
Ndugu Msomi, kikubwa ameeleweka mwacheni ashatoa maelekezo wataalamu wa CT scan waache wachape kazi.T-Scanβ’ provides dynamic occlusal measurement - revealing the level and timing of force on individual teeth and the occlusal stability of the overall bite - bringing articulating paper marks to life.
Si mshangazi mzuri mzuri....π π π
Ameambiwa cha kuongeatena si kwa maandishi bali kwa kusimuliwa na hakujihangaisha kujuwa zaidi.Sio kwamba ameweka akili pembeni, huyu hajui. Yaani ccm ni dubwana flani hivi la wasiojielewa.
Na mimi nakuja urambo si muda mrefu....bila kusahau nini mwanamke urambo.Yupo vizuri anagombea jimbo 2025 skonge
Ukiachana na changamoto zakutokuwa na Elimu Ila she is very humble and charming to everybody .
Alisahihishwa na kuambiwa mheshimiwa Tambwe unamaanisha "CT scan" ? Yeye akarudia tena "tc Scan".T scan imefungwa kila mkoa
kusoma na kuandika tu kiswahili basi unakuwa mbunge ccm majizi aisee,kakaza shingo kweli eti Tscan t scanHawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia Samia..... yaani ameweka kando akili yake ame-concetrate kwenye uchawa! Huyu ni Mzazi wa MTU na Mbunge wa Watu, natamani kufahamu Jimbo lake.
View attachment 2983039
Sijui mjinga gani alileta viti maalum alaaniwe mileleHamna kitu huyo
VITI MAALUM VIFUTWEEEE TU
ova
Watu wote tuseme AmenSijui mjinga gani alileta viti maalum alaaniwe milele
Na bado kuna Wapumbavu humu ndani wanamteteaAmeambiwa cha kuongeatena si kwa maandishi bali kwa kusimuliwa na hakujihangaisha kujuwa zaidi.