Kutekwa kwa mtumishi wa umma/ serikali kuna uhusianao na yaliyomo kwenye kitabu cha Kabendera?

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua ni mtumishi wa aina gani.
Pili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.

Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
 
Mbona hatuelewi unaeleza habari gani hizi?
 
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hili lilikuwa ni jukwaa la great thinker ila sasa limeingiliwa
Wameshindwa kuelewa kuwa kuna mtumishi wa "mfumo" ametekwa huko Buza ambaye hakuna hata taasisi iliyokiri kuwa ni mtumishi wake zaidi ya mkewe kusema na mtumishi wa "sirikali" na ambaye kabila lake ni Mhaya,hivyo wewe umeunganisha dots na kuweka jamvini ugunduzi wako.

Jamii Forum ya sasa tumekuwa kama watoto wachanga,yaani mpaka tutafuniwe sisi ni kumeza tuu!!!
 
Back
Top Bottom