Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kama ni mtumishi wa tiss na alitoa siri, namwonea huruma, wampe tu nafasi ya kutubu kwanza ili anakoenda kuwe kuzuri.Huyo bwanamdogo nimeona comments kwenye page fulani X kwa wanaomjua /wa mtaa mmoja nae wanasema alikuwa ni mtu wa chest thumping sana na alihusika kwenye dili za madini na ni mtumishi wa TISS sasa ulitarajia atajwe wakati sheria yao iliboreshwa saa hizi hawatajwi.
Uliona sarakasi zilizopigwa kuhusu yule aliyetoa bastola Masaki , ndio hao hao sasa.