Kutekwa kwa mtumishi wa umma/ serikali kuna uhusianao na yaliyomo kwenye kitabu cha Kabendera?

Anza wewe kuipangua tuone. Kumbuka kitabu kile kwa sasa kinauzwa kwa nchi zilizoendelea na kustarabika. Wewe huenda baada ya kumaliza shule hizi za kata haujawahi kusoma kitabu chochote
Kiranga ambaye amekisoma kitabu hicho ameanza kupangua hoja za kwenye hicho kitabu.

Kiranga anasema mwandishi ameandika Sokoine alikufa tarehe 12 April 1983 ambayo ni uongo badala ya mwaka halisi ambao ni 1984.

Hali hii inafanya kikose credibility. Watu makini wanakuwa na mashaka hawawezi kukiamini . Hivyo kitabu hicho hakiaminiki.
 
Unajua typing error we?
 
Back
Top Bottom