Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwananchi ilikuwa zamani sasa ni kama gazeti la Wanachonga nkNimesoma gazeti la Mwananchi wamesema ni mtumishi wa wizara ya madini.
Tengenezeni tu "justifications" zenu Watanzania wanawachora tu!Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
Kwa hio ni mtumishi wa Wizara gani? Acha kuchafua biashara za watu kindeziMwananchi ilikuwa zamani sasa ni kama gazeti la Wanachonga nk
Watanzania gani hao unaowasemea?Tengenezeni tu "justifications" zenu Watanzania wanawachora tu!
Wewe unawasemea watanzania gani?Watanzania gani hao unaowasemea?
Wewe sio mmoja wao piaHili lilikuwa jukwaa la GT, wewe sio mmoja wetu
Unaogopa nini mzee eeh nini unaogopa km unajiamini si ungetaja mpaka hao watumishi waliomteka huyo mtumishi km kweli unawajua na kuwatambua, taarifa yako imekaa kidakudaku halafu unajiita GTWenye akili yaani great thinkers wameelewa na ndio walengwa wa huu uzi, vipaza upitie mbali
Haya wataje hao watumishi waliomteka mwenzao ili kumshughulikiana sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake
Huyo Kwabendera sio Mhaya ni MgandaPili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.
Kabendera sio Mhaya!Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua ni mtumishi wa aina gani.
Pili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.
Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
Kwa nini wasimteke Mwandishi mwenyewe kuliko kuhangaika na matawi?Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua ni mtumishi wa aina gani.
Pili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.
Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
Ni codeMBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?
Kaeleweka vizuri tu labda useme wewe ndio bado hujamuelewaMBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?
Kumbuka kabendera ni muamdishi wa habari za kiuchunguzi ,sijui unaelewa maana ya hilo neno?Kabendera kaandika kitabu cha hearsay, alitakiwa alete vitu tangible, sio kuleta story zisizo na ushahidi kabisa na ambazo ni rahisi san akuzipangua.
Kumbuka kabendera ni muandishi wa habari za kiuchunguzi ,sijui unaelewa maana ya hilo neno na unaelewa aina hiyo ya waandishi huwa ni watu ganiKabendera kaandika kitabu cha hearsay, alitakiwa alete vitu tangible, sio kuleta story zisizo na ushahidi kabisa na ambazo ni rahisi san akuzipangua.
kitu chochote unachoweka kwenye maandishi huwa kinadumu miaka mingi sana, sio gazeti lile ni kitabu. uandishi wako wa uchunguzi usio na ushaidi wa kutosha yafaa uweke kwenye gazeti. ila kama ni kitabu lazima uweke source zinazothibitika, au la hilo ni gazeti tu. na ndivyo kilivyo kile kitabu. ni story tena za mtaani ambazo unatakiwa kurisk kuziamini. mimi sikuwa namfagilia jiwe kabisa, ila nilitegemea aandike kitu bora kama ameamua kufanya hivyo. kile ameandika ni rahisi sana kukicounter na kutokiamini.Kumbuka kabendera ni muandishi wa habari za kiuchunguzi ,sijui unaelewa maana ya hilo neno na unaelewa aina hiyo ya waandishi huwa ni watu gani
Ndio maana nikakuuliza unaelewa maana ya muandishi wa habari za kiuchunguzi? Na unajua wanavyo fanya kazi?kitu chochote unachoweka kwenye maandishi huwa kinadumu miaka mingi sana, sio gazeti lile ni kitabu. uandishi wako wa uchunguzi usio na ushaidi wa kutosha yafaa uweke kwenye gazeti. ila kama ni kitabu lazima uweke source zinazothibitika, au la hilo ni gazeti tu. na ndivyo kilivyo kile kitabu. ni story tena za mtaani ambazo unatakiwa kurisk kuziamini. mimi sikuwa namfagilia jiwe kabisa, ila nilitegemea aandike kitu bora kama ameamua kufanya hivyo. kile ameandika ni rahisi sana kukicounter na kutokiamini.
ninaelewa, na ninajua wanavofanya kazi, najua kuna whistleblowers wengi wanaweza kuwaficha, na hata source wanaweza kuficha, na hiyo ndio sababu inayofanya wawe na uwezo kuandika tu magazeti ila sio kitabu. ukisashema unaandika kitabu thats another thing, source lazima iwekwe na isionekane tu umetoa kichwani mwako labda kwa sababu ya upendo au chuki kwa yule unayemwandika.Ndio maana nikakuuliza unaelewa maana ya muandishi wa habari za kiuchunguzi? Na unajua wanavyo fanya kazi?