Kweli kabisa.Taarifa haijaeleweka
Mbona hatuelewi unaeleza habari gani hizi?Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua ni mtumishi wa aina gani.
Pili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.
Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
Hili lilikuwa ni jukwaa la great thinkers ila sasa limeingiliwaMbona hatuelewi unaeleza habari gani hizi?
Anasema sii lazima wote tukajuaMBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?
Mngese huyo jamaa,kama ana hofu sana angetulia tu na habari yakeMbona hatuelewi unaeleza habari gani hizi?
π€π€π€π€π€Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua ni mtumishi wa aina gani.
Pili huyu anatoka mkoa wa Kagera kama alivyo Kibendera.
Hitimisho fupi. Huenda anahusishwa na kutoa taarifa nyeti ila za uhakika kwa Kabendera na sasa anashughulikiwa na watumishi wenzake kwa kosa la kuvujisha siri.
Mbona habari kamili iko hapa hapa jukwaani kuhusiana na huo utekaji!!Mngese huyo jamaa,kama ana hofu sana angetulia tu na habari yake
Wameshindwa kuelewa kuwa kuna mtumishi wa "mfumo" ametekwa huko Buza ambaye hakuna hata taasisi iliyokiri kuwa ni mtumishi wake zaidi ya mkewe kusema na mtumishi wa "sirikali" na ambaye kabila lake ni Mhaya,hivyo wewe umeunganisha dots na kuweka jamvini ugunduzi wako.Hili lilikuwa ni jukwaa la great thinker ila sasa limeingiliwa
TULETEE TUIONE BASI SISI SIYO WATABIRIMbona habari kamili iko hapa hapa jukwaani kuhusiana na huo utekaji!!
Amesahau kueleza ni nani katekwa na ni lini katekwa π€£MBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?
Great thinkers mpaka kwenye kutafsiri ndoto! basi mie sitakuwepo.Hili lilikuwa ni jukwaa la great thinker ila sasa limeingiliwa
Tulishakuonya wewe mara kadhaa kwamba Shetani hana Rafiki, endelea kujipendekezaMBONA HUJAELEWEKA NIN NANI HUYO KATEKWA TENA?
Mmmh !Mbona habari kamili iko hapa hapa jukwaani kuhusiana na huo utekaji!!
Duh π !Tulishakuonya wewe mara kadhaa kwamba Shetani hana Rafiki, endelea kujipendekeza