Kutekwa kwa mtumishi wa umma/ serikali kuna uhusianao na yaliyomo kwenye kitabu cha Kabendera?

Tuwe makini bado chain ni ndefu
 
Kitabu hicho cha kijinga kitasababisha mauaji sana kuanzia chini hadi juu kwa kukosa hekima na busara ndogo tu aliyoionesha Mganda Kabendera
 
Ujinga mtupu!.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Unavujisha taarifa kwa manufaa ya umma halafu unabakia hapo hapo?

Amuulize mwenzake Chahali, alinusa moles akalala mbele
 
Afisa Mwandamizi kabisa

Mpaka wajiridhishe kweli sio yeye hata ofisini hatakuwa na hamu ya kurudi.

Mungu amsaidie huko aliko.

NB: watumishi zingatieni viapo vyenu.
 
Hivi kuna serikali/tawala isiyoteka duniani 😄

Ova
 
Habari imeandikwa ki-great thinkers kwa great thinkers, ukishindwa kuielewa ujue wewe hauko level ya great thinkers. Period
 
Nimesoma gazeti la Mwananchi wamesema ni mtumishi wa wizara ya madini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…