hem toa ombi serious... ...utasaidiwa kufunguka mawazo then njia utaipata tu...umeona mimi..niliona bora nilibwage na mbona nimepata ushauri mzuri..umenifungua kichwa ..... ...tena imesaidia kunitoa uzito ..nimepata ujasiri!Sasa nani wa kusaidia!
Hio kazi ndio naitaka kuijua ni ya design gani, maana mi nashindwa hapo tu. Nielekee wapi ntapopata msaada stahiki! Ushenzi huu pia nimeuchoka ila basi nakosa pa kwenda! Manabii wengi feki unaeza enda jiongezea tatizo tu!hem toa ombi serious... ...utasaidiwa kufunguka mawazo then njia utaipata tu...umeona mimi..niliona bora nilibwage na mbona nimepata ushauri mzuri..umenifungua kichwa ..... ...tena imesaidia kunitoa uzito ..nimepata ujasiri!
kesho InshaAllah..wanaume tunaingia kazini..na mapema...nasema tena kote kote...
mpaka tujue moja..hii kutawaliwa na vitu visivyoonekana baadae unakuwa na wewe husomeki!
Amka !
upo??
mkuu angalia post ya juu hapoHio kazi ndio naitaka kuijua ni ya design gani, maana mi nashindwa hapo tu. Nielekee wapi ntapopata msaada stahiki! Ushenzi huu pia nimeuchoka ila basi nakosa pa kwenda! Manabii wengi feki unaeza enda jiongezea tatizo tu!
kuhusu kazi mkuu..soma tena hapo yaratibu.. utaelewa tu....Hio kazi ndio naitaka kuijua ni ya design gani, maana mi nashindwa hapo tu. Nielekee wapi ntapopata msaada stahiki! Ushenzi huu pia nimeuchoka ila basi nakosa pa kwenda! Manabii wengi feki unaeza enda jiongezea tatizo tu!
mkuu sijui nikwambie utuulizie huko?Odo wangu ana hili tatizo ana kitu kinamtembea alikua anatuonesha kinarudi tumboni anakua anapata kama pumu ni mda sjui alipona au la aliambiwa amelishwa uchawi (sihri)
Acha uzushi kama hawakuona kitu sasa dawa walimpa za nini?Asante mkuu kwa ushauri mzuri....
maana..
Wiki ilopita tulimpeleka hospital hawakuona kitu .akapewa dawa tu.
inawezekana mkuu ndio maana tukapewa panadol.. na vitamin b complex!Acha uzushi kama hawakuona kitu sasa dawa walimpa za nini?
Huo bila shaka ni mchafuko wa damu au ukosefu wa madini flani mwilini ambao umemsababishia kupata kujihisi(hallucination)
Hiyo ni medical condition ambayo Dr yeyote lazima hapate solution yake
tutakwenda kusafisha damu kule tulimoshauriwa na wengi mkuu.muhimu iwe safi tu...Acha uzushi kama hawakuona kitu sasa dawa walimpa za nini?
Huo bila shaka ni mchafuko wa damu au ukosefu wa madini flani mwilini ambao umemsababishia kupata kujihisi(hallucination)
Hiyo ni medical condition ambayo Dr yeyote lazima hapate solution yake
Tatizo lako umekutana na muhudumu wa afya basi unajua umekutana na Dr au umeenda kituo cha afya ukidhani ni hospitalinawezekana mkuu ndio maana tukapewa panadol.. na vitamin b complex!
yaani ni uzushi wa kiwango cha lami!
tena damu imechafuka sana aisee...si mchezo!
... solution ndio hiyo na dawa wakatupa !
mkuu sijui nikwambie utuulizie huko?
Maana hivi naandika hapa ujuwe tuko macho ....
Nyumba haitoshi ...
mtoto anateseka na sisi tunanyooka..
kesho mapema tutagawana njia..
sawa mkuuTatizo lako umekutana na muhudumu wa afya basi unajua umekutana na Dr au umeenda kituo cha afya ukidhani ni hospital
Hiyo sio maralia wala typhoid ni disorder inayohitaji Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama na watoto
Bila shaka kwa maelezo yako huyo mtoto najua ni wa kike kama sio its ok, ila nataka nikwambie hiyo ni more saikolojiko ndio maana unasema anaongea sana na anaonyesha dalili zote za HYSTERIA na depression
Shukran Madam S...
nitapowa uzuri Leo alkhamis ...kwenye..uleee unaotabasam!