Kutembewa na kitu mwilini

Kutembewa na kitu mwilini

Sasa nani wa kusaidia!
hem toa ombi serious... ...utasaidiwa kufunguka mawazo then njia utaipata tu...umeona mimi..niliona bora nilibwage na mbona nimepata ushauri mzuri..umenifungua kichwa ..... ...tena imesaidia kunitoa uzito ..nimepata ujasiri!
kesho InshaAllah..wanaume tunaingia kazini..na mapema...nasema tena kote kote...
mpaka tujue moja..hii kutawaliwa na vitu visivyoonekana baadae unakuwa na wewe husomeki!
Amka !
upo??
 
Mtafuteni jamaa mmoja FB anatumia jina la KUHANI MWANA WA LAWI, kuna mtu alimuombea kwenye simu tu amefunguliwa, pia hutoi hata shs. 10
 
hem toa ombi serious... ...utasaidiwa kufunguka mawazo then njia utaipata tu...umeona mimi..niliona bora nilibwage na mbona nimepata ushauri mzuri..umenifungua kichwa ..... ...tena imesaidia kunitoa uzito ..nimepata ujasiri!
kesho InshaAllah..wanaume tunaingia kazini..na mapema...nasema tena kote kote...
mpaka tujue moja..hii kutawaliwa na vitu visivyoonekana baadae unakuwa na wewe husomeki!
Amka !
upo??
Hio kazi ndio naitaka kuijua ni ya design gani, maana mi nashindwa hapo tu. Nielekee wapi ntapopata msaada stahiki! Ushenzi huu pia nimeuchoka ila basi nakosa pa kwenda! Manabii wengi feki unaeza enda jiongezea tatizo tu!
 
mkuu angalia post ya juu hapo

Jthe Queen amesema neno...usivunjike moyo... .....
halafu hapo unapoishi angalia angalia vizuri mkuu yaani jaribu kujikagua ...
 
Hio kazi ndio naitaka kuijua ni ya design gani, maana mi nashindwa hapo tu. Nielekee wapi ntapopata msaada stahiki! Ushenzi huu pia nimeuchoka ila basi nakosa pa kwenda! Manabii wengi feki unaeza enda jiongezea tatizo tu!
kuhusu kazi mkuu..soma tena hapo yaratibu.. utaelewa tu....
 
Odo wangu ana hili tatizo ana kitu kinamtembea alikua anatuonesha kinarudi tumboni anakua anapata kama pumu ni mda sjui alipona au la aliambiwa amelishwa uchawi (sihri)
 
mkuu sijui nikwambie utuulizie huko?

Maana hivi naandika hapa ujuwe tuko macho ....
Nyumba haitoshi ...
mtoto anateseka na sisi tunanyooka..
kesho mapema tutagawana njia..
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri....

maana..

Wiki ilopita tulimpeleka hospital hawakuona kitu .akapewa dawa tu.
Acha uzushi kama hawakuona kitu sasa dawa walimpa za nini?

Huo bila shaka ni mchafuko wa damu au ukosefu wa madini flani mwilini ambao umemsababishia kupata kujihisi(hallucination)
Hiyo ni medical condition ambayo Dr yeyote lazima hapate solution yake
 
inawezekana mkuu ndio maana tukapewa panadol.. na vitamin b complex!

yaani ni uzushi wa kiwango cha lami!
tena damu imechafuka sana aisee...si mchezo!

... solution ndio hiyo na dawa wakatupa !
 
tutakwenda kusafisha damu kule tulimoshauriwa na wengi mkuu.muhimu iwe safi tu...
 
inawezekana mkuu ndio maana tukapewa panadol.. na vitamin b complex!

yaani ni uzushi wa kiwango cha lami!
tena damu imechafuka sana aisee...si mchezo!

... solution ndio hiyo na dawa wakatupa !
Tatizo lako umekutana na muhudumu wa afya basi unajua umekutana na Dr au umeenda kituo cha afya ukidhani ni hospital

Hiyo sio maralia wala typhoid ni disorder inayohitaji Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama na watoto

Bila shaka kwa maelezo yako huyo mtoto najua ni wa kike kama sio its ok, ila nataka nikwambie hiyo ni more saikolojiko ndio maana unasema anaongea sana na anaonyesha dalili zote za HYSTERIA na depression
 
Mkuu huyo ni mdudu au kwa lugha nyepesi ni Ruhani
Na ndio maana anakuwa akihis mwili ukimsisimka kisha kitu kama kinamtambambalia mwilini mwake hlf kinapotea
Mara nyingi ikitokea hivo ujue hio sehem alipopita sio pazuri
Sasa inakuwa kama ni ishara kwake
Vile vile huyo mdudu ni mlinzi mkubwa kwake
Angekuwa na madhara nae,dalili mngeziona mapema tu
 
Tatizo lako umekutana na muhudumu wa afya basi unajua umekutana na Dr au umeenda kituo cha afya ukidhani ni hospital

Hiyo sio maralia wala typhoid ni disorder inayohitaji Mtaalamu wa magonjwa ya kina mama na watoto

Bila shaka kwa maelezo yako huyo mtoto najua ni wa kike kama sio its ok, ila nataka nikwambie hiyo ni more saikolojiko ndio maana unasema anaongea sana na anaonyesha dalili zote za HYSTERIA na depression
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom