Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
- Thread starter
- #61
hem toa ombi serious... ...utasaidiwa kufunguka mawazo then njia utaipata tu...umeona mimi..niliona bora nilibwage na mbona nimepata ushauri mzuri..umenifungua kichwa ..... ...tena imesaidia kunitoa uzito ..nimepata ujasiri!Sasa nani wa kusaidia!
kesho InshaAllah..wanaume tunaingia kazini..na mapema...nasema tena kote kote...
mpaka tujue moja..hii kutawaliwa na vitu visivyoonekana baadae unakuwa na wewe husomeki!
Amka !
upo??