Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
- Thread starter
-
- #21
Km nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotajaMkuu Maxcomm ni Ya Tanzania na Maxmalipo ilikuwa project kubwa tu, kuna software nyingi za kizawa zinafanya vizuri,
Maxmalipo ni ya hapa hapaKm nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja
Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
Hakuna, IT wote wa Tanzania ni sifuri (zero)Mkuu mbn unanikatisha tamaa.Ni Kusema kwamba Tz mzima hakuna developers wa kufanya ninachotaka?
Maxmalipo wametengenezewa solution na wahindi huwa wanaficha tu ukweli😆Maxmalipo ni ya hapa hapa
Homepage - The Business Year
The Business Year is a global media group that has been providing investors, businesses, and governments with first-hand insights into the world’s most dynamic markets for over a decade. We conduct hundreds of interviews a week with top decision makers in the Middle East, Latin America, Central...www.thebusinessyear.com
Pitia hapo pia kuna projects nyengine.
Wakuda wamewaachia watu ma machine Yao na hakuna kitu unaweza kuyafanyia.Hovyo sana.Km nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja
Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
Niliwahi sikia jamaa wa selcom alitengeneza then baadae akajitoa na kutengeneza yake. Kulikuwa na mzozo sema nilikuwa siufatiliiMaxmalipo wametengenezewa solution na wahindi huwa wanaficha tu ukweli😆
Mkuu nimeomba kujua uzoefu wako wa IT if you don't mindKuna Computer Software na Computer Programs! Watanzania wengi wanaweza kutengeneza Computer Programs. Software ni shughuli Pevu Mkuu, Sisi Watanzania Bra bra nyingii kuliko umakini , Wakenya kiasi wapo Vizuri
Mkuu siombi radhi kabisa. Waende wakasome. Waache ujanja ujanja.
[emoji23][emoji23]IT wa TZ ni mandezi kweli. Hii field inatakiwa uwe consistent na uwe una improve product daily. Walishindwa hata kuja na wazo la kutumia barcode unascan unatembea. Naanza kuamini kuwa ni wa hindi hawa waliunda hioWakuda wamewaachia watu ma machine Yao na hakuna kitu unaweza kuyafanyia.Hovyo sana.
MAXCOM alikuwa na 2 Zimbabweani (nawajua in and out) Developer wa App za MAXCOM ni Wahindi na wajua tena sana nna nna mpaka few email communications with this Developer kama unataka I can PM you their Discussions juu ya wao na MAXCOMMkuu Maxcomm ni Ya Tanzania na Maxmalipo ilikuwa project kubwa tu, kuna software nyingi za kizawa zinafanya vizuri,
Uzoefu kwenye nini??Mkuu nimeomba kujua uzoefu wako wa IT if you don't mind
Hao jamaa change yoyote kwenye POS yao ni mpaka itumwe email India, walikuwa wanapiga siasa sana kusema wametengeneza wenyeweNiliwahi sikia jamaa wa selcom alitengeneza then baadae akajitoa na kutengeneza yake. Kulikuwa na mzozo sema nilikuwa siufatilii
Hongera bwana IT. Miaka 20 sio mchezo!Kwa uzoefu wangu kama mtu wa IT for more than 20 yrs !
Naona Wahindi wako vizuri kupokea hela za wafanyabiashara wa Bongo na nchi nyingine. Kuna haja ya kujifunza namna wanavyofanya kwa vijana wetu ma IT wa Bongo!Hapa Tanzania Developers awapo Serious na Coding na awawezi tengeneza hizi app unazotaka wewe! Mimi nnatumia Wahindi ambao wapo Makini na kazi na wanakeep promise japo garama kidogo.
Kama hizo Saccos 40 hazijapata software nyingine naweza kuwasaidia kupata suluhisho kwa bei nafuu ili kupunguza maumivu. Kama wote 40 bado wana uhitaji wa world class solution, tuwasiliane. Ni maumivu sana kununua Software, kuna better ways!Kuna majamaa wamewaingiza mkenge Saccos zaidi ya 40 hapa Tanzania Waliwaambia kuwa wana Software nzuri kwa Saccos ,Ya Kizawa ,Ina ubora ,wakawa wanaawaambia Saccos waachane na software za kigeni wao wamekuja na suluhisho la software za Saccos!😂😂😂Sasa hivi Awapokei simu za Wateja ni madudu matupu waliowauzia hizi Saccos! Hizi saccos zitake zisitake ili waweze kuendana na Sheria za Benk Kuu lazima wanunue Software nyingine.
Zinaitwa classified ads platforms. Kutengeneza na ku operate ni vitu viwili tofauti. Ku operate kuna server na maintenance costs, kulipa watakaokuwa wanaiendesha, customer service, et al. Development ni ine time costSalaam..
Kuna hizi Apps mbili 1.JIJI 2.Zoom Tanzania amabazo ni platforms za kuconnect wateja na wauzaji wa bidhaa mtandaoni Kwa hapa Tanzania,naomba kujua from the scratch mpaka zinaanza kuoperate zinaweza kumghalimu mtu pesa kiasi gani.
As minima:Vitu Kama;
1.kudesign na kutengeneza App yenyewe itanicost kiasi gani
Hapa ni maintenance contract itasema. Inaweza kuwa fixed or incrementing with time with a ceiling. Wafanyakazi itategemeana na expertise unayoitaka na market price. Pia your negotiation powers.2.gharama za kuiendesha
3.wafanyakazi
Sijawahi kusoma mahali kwamba kuna registration ya aina yoyote. Check na lawyers though kama sheria, especially EPOCA na Cybercrime haizina vipengele vya kukubana. Pia unaweza fanya spying/kuomba kujua hao uliowataja wana vibali gani official kama vipo!4.usajili(naanzia wapi namalizia wapi pamoja na gharama zake)
Ilikuwaje?Ndo kilichomtokea mange na app yake
Mkuu asante sn..umechambua vizuri sn na umenipa mwanga mkubwa..kwa sasa sina swali maana hmeyajibu maswali yangu yote,Ila nakuhakikishia nitakuwa nakutafuta mara kadhaa endapo nitakwama mahaliZinaitwa classified ads platforms. Kutengeneza na ku operate ni vitu viwili tofauti. Ku operate kuna server na maintenance costs, kulipa watakaokuwa wanaiendesha, customer service, et al. Development ni ine time cost
As minima:
Web Platform: 10 - 15mil
API: 3 - 5mil depending na operations zipi kwenye web platform zinakuwa kwenye mobile app
Android App: 7 - 15mil depending on APIs
iOS app: 7 - 15 mil depending on APIs
Minimum = 10 + 3 + 7 + 7 = 27mil
Maximum = 15 + 5 + 15 + 15 = 50mil
Hapa ni maintenance contract itasema. Inaweza kuwa fixed or incrementing with time with a ceiling. Wafanyakazi itategemeana na expertise unayoitaka na market price. Pia your negotiation powers.
Sijawahi kusoma mahali kwamba kuna registration ya aina yoyote. Check na lawyers though kama sheria, especially EPOCA na Cybercrime haizina vipengele vya kukubana. Pia unaweza fanya spying/kuomba kujua hao uliowataja wana vibali gani official kama vipo!
Sawa..jamaa walikupiga punches nyingi sn Ila bado ukawadindia mpaka mwisho😅Mkuu siombi radhi kabisa. Waende wakasome. Waache ujanja ujanja.
Karibu sana boss!Mkuu asante sn..umechambua vizuri sn na umenipa mwanga mkubwa..kwa sasa sina swali maana hmeyajibu maswali yangu yote,Ila nakuhakikishia nitakuwa nakutafuta mara kadhaa endapo nitakwama mahali
What about this boss?Show or name to Me Software gani imetengenezwa na Watanzania/Mtanzania??
Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!NMB wametoa mpaka Sandbox WaTZ wadevelop app mpaka leo ngapi zimetengenzwa???
Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?COSTECH mpaka Microsoft walitoaga Funds ku incubate software Developer todate kuna software ngapi zipo sokoni??