Kutengua Uteuzi wa Viongozi wa Siasa kwa Tuhuma za Jinai kusitumike kama mbadala wa kushitakiwa

Konny Joseph

Senior Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
118
Reaction score
199
Screenshot_20240420-094846_Chrome.jpg

Screenshot_20240420-073837_Chrome.jpg

Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu.

Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa kutokuwashitaki viongozi hawa katika mahakama kulingana na makosa ya jinai waliyoyafanya.

Kwa misingi hiyo,utenguzi huu huwa hautumiki kwa maslahi ya umma ili kutoa nafasi kwa mamlaka kuchukua hatua zinazostahiki kwa wahusika.Badala yake zinatumika kuwalinda viongozi hao na mkono wa sheria kwa kuwahadaa wananchi kuwa kutumbuliwa ni hatua tosha kulingana na makosa waliyoyafanya.

Mamlaka zielewe kwamba kutumbuliwa sio mbadala wa adhabu ambayo mtu anapaswa kupewa anapotuhumiwa kwa makosa ya kihalifu.

Kutengua uteuzi wa kionhozi sio adhabu kama ilivyo kuteua sio takrima.

Viongozi wanaotuhumiwa kwa makosa ya jinai lazima hatua stahiki zichukuliwe kulingana na makosa yao.
 
View attachment 2968932
View attachment 2968933

MKUU KUMBUKA WATEULE WOTE NI CCM HIVYO HAKUNA WA KUSHTAKIWA KUMBUKA YULE PAULINE GEKUL NA SASA HUYU DED WA MAFIA HAKUNA KESI HAPO CCM TU IMESHINDWA KUMCHUKULIA HATUA YULE PAULINE KISA MBUNGE WAO
 
View attachment 2968932
View attachment 2968933

Kumekuwa na tabia kwa serikali kutengua uteuzi wa viongozi wa umma kwa tuhuma za kuhusika katika vitendo vya kihalifu.

Ila kwa bahati mbaya utenguzi huu huwa unatumika kama mbadala wa kutokuwashitaki viongozi hawa katika mahakama kulingana na makosa ya jinai waliyoyafanya.

Kwa misingi hiyo,utenguzi huu huwa hautumiki kwa maslahi ya umma ili kutoa nafasi kwa mamlaka kuchukua hatua zinazostahiki kwa wahusika.Badala yake zinatumika kuwalinda viongozi hao na mkono wa sheria kwa kuwahadaa wananchi kuwa kutumbuliwa ni hatua tosha kulingana na makosa waliyoyafanya.

Mamlaka zielewe kwamba kutumbuliwa sio mbadala wa adhabu ambayo mtu anapaswa kupewa anapotuhumiwa kwa makosa ya kihalifu.

Kutengua uteuzi wa kionhozi sio adhabu kama ilivyo kuteua sio takrima.

Viongozi wanaotuhumiwa kwa makosa ya jinai lazima hatua stahiki zichukuliwe kulingana na makosa yao.
Wachukuliwe hatua za kisheria?
Kwani mle kwenye Chama chao nani ni msafi?
 
Una hoja, waharifu washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom