Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka.
Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni kama yalikuwa na dosari yeyote.
Anapokuja Mhe. Rais katika eneo fulani watu huwa wanabeba mabango ya aina mbalimbali na mengine yana maneno yasiyo na staha na kwa ujumla yote yanatoa ujumbe kwa Mhe. Rais. Natumaini hayo ndo aliyokuwa anamaanisha Ndugu Chalamila.
Hata hivyo Mhe. Rais kwa lugha ya staha angempangia kazi nyingine kuliko hii iliyoleta taharuki. Ikumbukwe kuwa amekaa sana muda mfupi hapa Mwanza.
Mhe Rais angemuacha angalau hata miezi sita ikiwa bado anamsoma. Pamoja na hayo Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba yetu ana uwezo wa kufanya lolote analoliona kama linafaa.