Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

Usirembe maneno katumbuliwa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Japo ni fala lakini naona kama wamemuonea ila mtu kama sabaya unastahili kupata mavuno ya alichokipanda
 
Eti kuna tofauti ya kutumbua na kutengua au sijakusoma
 
Watu wote waliosema aongezewe mda yafaa waondolewe kwenye utumishi ukiwachunguza wengi hawana uwezo thus waliishia kujipendekeza tu
 
Unajuaje kamfukuza sababu ya Bango ?

By the way kuna msemo wa "The Last Straw which Broke the Camels Back"...,

Ukijaza gunia kwa debe nne sio kwamba ile ya mwisho pekee ndio imejaza gunia.., bali zile tatu za mwanzo ndio zimechangia hii ya mwisho kujaza...
 
Eti kuna tofauti ya kutumbua na kutengua au sijakusoma

Usirembe maneno katumbuliwa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kwa matumizi yamaneno hayo tangu tulipoanza kuyasikia miaka mitano iliyopita. Utumbuzi unaendana kuadabishwa kutokana na makosa ya kikazi (majipu) yanayosababisha malalamiko mbele ya umma, wakati untegunzi unatokana na matakwa ya rais mwenyewea hata bila kuwa na sababu yeyote. Aliyetenguliwa uteuzi wake kwa sababu ya kushindwa kuapa hata kabla hajaanza kazi huyu hakutumbuliwa. Vile vile waliotenguliwa teuzi zao kwa sababu ya kutokukubaliana na Magufuli hawakuwa wanatumbuliwa; kwa mfano, Dr. Mwere alitenguliwa nafasi yake ya ukurugenzi siyo kwa sababu kulikuwa na malalamiko dhidi yake kikazi, na vile vile Prof Assad naye uteuzi wake haukuwa renewed siyo kwa sababu kulikuwa na malalamiko dhidi yake kikazi.
 
Kuna press release yoyote imewahi kuandika kuwa kuna mtu katumbuliwa,?
 
Kulikuwa na haja gani ndugu Chala kuzungumzia mabango? Yeye aliogopa nini mabango ikiwa hata kama yangekuwepo asingeweza fanywa chochote kwa vile yeye ni mgeni ndio kwanza hana hata mwezi mwanza?

Yeye kusema wananchi wa mwanza wasiwe na kinyongo na mama samia kwa kufariki magufuli, Yeye alijuaje kuwa wananchi wana kinyongo kwa kufa kwake? Yeye alijuaje kuwa magu alikatishwa kamba?

Si bora hata kwa mama, enzi za magu kwenye uzinduzi wa choo alikuwa anajisemea tu nitumbue au nisitumbue? Wakisema tumbuaaaaaa, imeisha hiyo!
 
kama alikwambia atakulipia ada ya chuo mwaka wa masomo ujao,basi imekula kwako, Rc aliahindwa kuco troll kinywa chake, alichopata amedeserve FULL STOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…