t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu niseme hukufutatilia !! lowasa lilikuwa ni stepping stone .kwa siasa za chadema kwa sababu lowasa alikuwa na watu. Mind you hata magu kupata nafasi ya kugombea urais ilikuwa ni sababu lowasa alionekana ni tishio hata huko ccm hasa team msoga.Slaa alikuwa hana Option wewe Imagine, Mbowe, Lema na kina Mnyika walishika madodoki na kuanza kumsafisha Lowasa ambae wamekuwa wakihubiri for years kuwa ni Fisadi papa leo chama kina Mfanya kuwa Flag bearer kweli?
Uzuri uwezo wa mtu huwa haujifichi na wote tunafahamu Kuwa DR Slaa uwezo wake ni Mkubwa sisi wazalendo tume reserve uzalendo wake alio onesha wakati huu na Inshu ya Ubalozi , Urais wa Samia ukikoma hata Kesho ataerudishiwa tu wala sio Inshu
Kilichokuja kumbadilisha Dr slaa ni kuwa mama josephine aliona kwa ile move anaukosa u first lady akamzingua Dr ,na Dr naye akaja kuizingua Chadema .