Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

Kizimkazi hiki ndio anaweza kufanyia kila mala kuteua na kutengua.Mambo ya msingi Hana muda nayo ambayo yanawaumiza watanganyika.kama hii ya kukosekana Petroleum and Diesel [emoji618] wanaficha mafuta. Na YY kapiga kimya hii ni kasumba kila ikikalibia juma5 ya mwanzo w mwezi.
 
For the record slaa ndio alishauri lowassa apokelewe Chadema na kwenye mapokezi ya lowasa chadema slaa alikuwepo.
Upepo ulibadilika baada ya mama josephine kuhisi ataukosa u first lady , nadhani ni yale maongezi ya pillow talk usiku kwa wanandoa ndo slaa akabadili msimamo wake juu kwa juu na kupindua meza.
Hoja dhaifu yanii huyo Josephine ategemee kirahisi tu hivyo kuwa Slaa atakuwa rais na yeye awe first lady?

Yote kwa yote uamuzi wa kumleta Lowassa ulikuwa wa hovyo na hilo limeshaonekana, sasa kama usaliti Slaa ni huo tu wa kushauri kumpokea Lowassa hapo chadema.
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...

Suala la bandari ni kubwa zaidi kuliko petty squables za uongozi katika chama cha siasa na siasa za ushindani wa vyama.

Sio jambo dogo kuwa wafuasi kindakindaki wa hayati JPM wanaongea lugha moja na wapinzani wake au kuwa Tundu Lissu, aliyemshutumu marehemu kuhusika na jaribio la kumwua, sasa anakiri uzalendo wake katika ulinzi wa maliasili za nchi.

Sina uhakika wa msimamo wako katika hili suala mkuu lakini nikudokezee tu kuwa “wanaodumu duniani siyo lazima wawe wale walio na nguvu kubwa au akili nyingi,bali ni wale walio tayari kubadilika na mazingira na nyakati”.

Tatizo kubwa linalotukumba watanzania ni kuwa tunakataa kubadilika kwa kukumbatia ubinafsi/umimi ambao hauna nafasi kwenye ulimwengu wa leo.
 
Kwamba alitakiwa ampigie kampeni Lowassa ili awe rais wa Tanzania kupitia chadema?
Slaa aliwasaliti viongozi wa chadema kipindi cha awamu ya 5 na hivyo kupelekea viongozi wa chadema kuwa kwenye kipindi kigumu haijawahi kutokea kwenye maisha yao ya siasa.

Slaa aligeuka na kuwa nyoka mwenye sumu kali dhidi ya viongozi wa chadema. Huyu mzee hafai kusamehewa milele.
 
Always TL apewe heshima yake, ushirika na wachawi huwa haudumu. Dr slaa alikuwa na option moja tu, ya kuendelea kuwaunga mkono milele ama msukosuko wowote unaomtokea hauepukiki.

Viva Tundu A. Lissu.
Mbona hata kina mbowe waliingia ushirika na ccm na jana wamesema ushirika umevunjika.
 
Dr Wilbroad Slaa ni mpinzani wa siku nyingi, toka kuanzishwa siasa za vyama vingi. Dr Slaa ni kama yule mchezaji katika timu, si wa kutegemewa sana, lakini anaweza kutokea nyuma na kufunga goli la ufundi.
Tunaikumbuka List of Shame.

Alopoteuliwa kuwa Balozi wengi tulishangaa sana, lakini ndo hivyo, tumikia kafiri upate mradi wako.
Awamu hii ya Sita akiwa Balozi Dr Slaa kaingia na pasi aliyoipata ya mpira wa DP World Akiwa kavaa jezi yenye nembo ya Balozi.
Dr Slaa vyenga kapiga, na alikuwa anaelekeo eneo la hatari box la timu ya serikali.

Sasa serikali ikachanganyikiwa, ikishangaa mbona Dr Slaa anakuja kavaa jezi yetu? Wakamvua jezi, lakini mchezaji ni yule yule, Dr Slaa.

Kwa upande mmoja serikali ya Mama Samia imejiumbua kwa kiasi, haipendi kuumbuliwa, iko vindictive!
Kilichomtokea Job Ndugai tunakikumbuka, serikali iko vindictive.
Tunakumbuka utawala wa mzee wa Chato.

Kuna mtu anaitwa Prof Mark Mwandosya.
Alionyesha hadharani kutoridhishwa kubambikwa kesi mtu, tena mpizani, anaitwa Sugu.
Yaliyotokea ni kama kagusa wire wenye umeme live.
Akafukuzwa uenyekiti wa Bodi za vyuo vikuu viwili, MUST- Mbeya na Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Vindictiveness.

Hii tuliyoiona si dalili njema saana.
Kina Mbowe walisamehewa uhaini na kualikwa siku hiyo hiyo Ikulu.
Tundu Lissu pia.
Sipendi wapinzani wanavyotukana, but you guys have better watch out.

Kwa mama, this is a sobering moment, aendelee kuwavumilia wapinzani, na tusirudi zile siasa za kubambikana kesi.

Mama Samia, stay the moral high ground.

Mwanasiasa akikubeza, chukua yale ya maana kama ushauri, mengine yadharau na yatupilie mbali.
Kuna sku aliyetukana kijinga atakuhitaji tu, na lazima ataomba radhi tu.
Vindictive politics no!

Alamsiki.
Mama nchi imemshinda
 
The fact kuwa slaa aliamua kuuza utu wake kwa hao ma ccm mwaka 2015 na akapata tangible rewards pamoja na huo ubalozi, wala simhurumii kwa haya ya kudhalilisha yanayomtokea .
Tungekuwa mbali sana kama Dr slaa asingesaliti upinzani mwaka 2015.
🤣🤣🤣😂tuna safariiii ndeeefu sana
 
Toka tupate uhuru ni huu ndio mna Rais mwenye akili nyepesi kumzidi hata kipepeo, mwanamke ni kiumbe sifuri na huyo Rais wenu anadhihiri na ataishia 2025, yeye ni wa mpito tu
 
Samia ameamua kuwakumbatia wasaliti wanaopigia chapuo ule mkataba wa hovyo wa bandari, na kuwatosa wazalendo wanaoulaani ule mkataba wa hovyo wa bandari kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Hiyo "hadhi ya ubalozi" Dr. Slaa asingeenda nayo kaburini, wala asingeingia nayo peponi kama angefika huko, wala hakuwahi kuwa na mabawa baada ya kupewa hiyo hadhi, kusema ndio akaanza kuruka angani...

Ni hadhi ya kujidanganya tu hapa ulimwenguni, kama ulivyo Urais wenyewe anaoutumia kuwapa wajinga wenzake vyeo, na kuwavua werevu vyeo, watanganyika tunamshangaa tu kiongozi aliyepoteza muelekeo na asiyeona aibu kuzidi kupotea.

Hiki alichokifanya Samia, ndio kinazidi kuthibitisha alivyo na roho mbaya kwa watanganyika, mwanamke dikteta, asiyetaka kuwasikiliza wale anaowaongoza, anayejifanyia mambo yake kwa manufaa ya wajomba zake wakiarabu.
Kama ubalozi ni hadhi tu, kuepusha lawama kwenye mgogoro wa bandari Slaa angeachwa tu maana hiyo hadhi sio meno ya kung'atia!
 
The fact kuwa slaa aliamua kuuza utu wake kwa hao ma ccm mwaka 2015 na akapata tangible rewards pamoja na huo ubalozi, wala simhurumii kwa haya ya kudhalilisha yanayomtokea .
Tungekuwa mbali sana kama Dr slaa asingesaliti upinzani mwaka 2015.

Kosa lilianzia kwa Mzee Mbowe.

Ile action yake ya kubadiri gear angani ndio ili zua yote haya maana bila hivyo Doctor Slaa hasingesusa na upande wa pili wasingepata opportunity ya kumnunua kwa cheo.

Na ndio maana Serikali inaweza kuwafanya chochote wakati wowote, hawana msimamo.
 
Mkuu niseme hukufutatilia !! lowasa lilikuwa ni stepping stone .kwa siasa za chadema kwa sababu lowasa alikuwa na watu. Mind you hata magu kupata nafasi ya kugombea urais ilikuwa ni sababu lowasa alionekana ni tishio hata huko ccm hasa team msoga.
Kilichokuja kumbadilisha Dr slaa ni kuwa mama josephine aliona kwa ile move anaukosa u first lady akamzingua Dr ,na Dr naye akaja kuizingua Chadema .

Hapa utachekesha wenye mapengo!

Kwamba Josephine ndio alibadiri mwelekeo wa mbio za Urais Kisa kuukosa u-first lady?

Kwamba huyo Josephine alikua na nguvu kubwa kiasi hicho juu ya Doctor Slaa? Josephine huyu huyu ama kuna mwingine?!

2015 Doctor Slaa alinuna watu wakanunua na Mzee Mbowe alichezea shilingi chooni kwa kujiamini, ikatumbikia!
 
Hii inaonyesha Samia hana ngozi ngumu, ana visasi na anadhani mtu akiwahi kuteuliwa na rais basi hiyo ni favor na kwamba mtu huyo hatakiwi kukosoa, kuonya na hata kupinga mambo ya hovyo.

Dr Slaa kanyang'anywa ubalozi kwa sababu kapinga kwa nguvu zote nchi yetu kuuzwa kwa mwarabu, na kwa kuwa kawa kiongozi kwa vitendo kukataa udalali wa nchi yetu.

Tutamrudishia hadhi yake Samia akiondoka madarakani.

Ni ajabu mzalendo anavuliwa hadhi, wauza nchi wameigeuza Ikulu pango la walanguzi na wapo wanapeta.
Mimi naona kama Mhe Tukijaaliwa nae itakuwa hakubaliani na issue ya bandari ndo mana kachaguliwa msaidizi. Hamjafikiria hilo?
 
Back
Top Bottom