Kutenguliwa ubalozi Dr W Slaa: Mnaliona tatizo ninaloliona?

Mkuu niseme hukufutatilia !! lowasa lilikuwa ni stepping stone .kwa siasa za chadema kwa sababu lowasa alikuwa na watu. Mind you hata magu kupata nafasi ya kugombea urais ilikuwa ni sababu lowasa alionekana ni tishio hata huko ccm hasa team msoga.
Kilichokuja kumbadilisha Dr slaa ni kuwa mama josephine aliona kwa ile move anaukosa u first lady akamzingua Dr ,na Dr naye akaja kuizingua Chadema .
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Kwani iwe mbowe na lema?kwann isiwd uongoz wa chama?bado umangi meli hujaisha isha chadema?mbowe na slaa nani msaliti?nani yuda?yuda ni yule aliyeuza chama kwa fisadi luwasa aliyetumwa kwa kaz maulum ndani ya chama
 
Kadanganye watoto.unamjua jk kweli ile ni akili nyngne katika siasa ndye aliyecheza mchezo wa luwasa kuwa chadema.mbowe kapewa chake dili is ova
 
Huwezi kumtenganisha malaya na hela. Atatoka na mwanaume yeyote na anaweza akatumika tundu lolote.

Huyo ndiyo Dr Slaa hana tofauti na malaya wa Mrina Bar ya Arusha
 
Kadanganye watoto.unamjua jk kweli ile ni akili nyngne katika siasa ndye aliyecheza mchezo wa luwasa kuwa chadema.mbowe kapewa chake dili
Watawala wanaonekanaa wana akili kwa sababu katiba inawabeba , siku ikipatikana katiba ndo mtajua kuna watu wana akili kuliko hao mnaowanadi.
 
Always TL apewe heshima yake, ushirika na wachawi huwa haudumu. Dr slaa alikuwa na option moja tu, ya kuendelea kuwaunga mkono milele ama msukosuko wowote unaomtokea hauepukiki.

Viva Tundu A. Lissu.
Kunya anye Kuku akinya Bata kaharisha.Nyie mbona mlishirikiana na Lowasa ambaye mulimtangaza kwenye list of shame.
Na Leo Mbowe yupo kwenye Maridhiano na CCM ambayo Mwenyekiti wake alimuweka ndani kwa kesi ya kubumba.
 
MUHUBIRI 4:13
Afadhali Kijana masikini mwenye hekima kuliko Mfalme Mzee mpumbavu ambaye hasikilizi shauri jema
 
The fact kuwa slaa aliamua kuuza utu wake kwa hao ma ccm mwaka 2015 na akapata tangible rewards pamoja na huo ubalozi, wala simhurumii kwa haya ya kudhalilisha yanayomtokea .
Tungekuwa mbali sana kama Dr slaa asingesaliti upinzani mwaka 2015.
Mbowe pia aliwasaliti Watanzania kwa kumpa nafasi ya ugombea Urais Lowasa ambaye mulimtangaza kwenye list of shame kuwa ni fisadi!
 
Mpinzani atasamehewa sio mtu aliyekula kiapo cha kumshauri kwa wema na uaminifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , umzodoe, umdhalilishe, umtukane Rais halafu uangaliwe tu!
 
Acha utoto Josephine ndiyo nani kwenye siasa.Lowasa alikuwa na watu kutoka wapi?kubalini mulichemsha,sasa ata Lowasa angeshinda unadhani system ingempa nchi?
 
The fact kuwa slaa aliamua kuuza utu wake kwa hao ma ccm mwaka 2015 na akapata tangible rewards pamoja na huo ubalozi, wala simhurumii kwa haya ya kudhalilisha yanayomtokea .
Tungekuwa mbali sana kama Dr slaa asingesaliti upinzani mwaka 2015.
Yani kwamba angempigia kampeni Lowassa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha upinzani?
 
Unafiki sio kitu kizuri.
Mzee slaa aliwasaliti CHADEMA mbele ya JPM kwajili ya tumbo lake, leo hii tena wapo pamoja kwenye jukwaa la kisiasa.
Mbowe na Lema wanapaswa kujitafakari sana, sio kwamba wanachadema wamesahau ila ...
Kwamba alitakiwa ampigie kampeni Lowassa ili awe rais wa Tanzania kupitia chadema?
 
Mbowe pia aliwasaliti Watanzania kwa kumpa nafasi ya ugombea Urais Lowasa ambaye mulimtangaza kwenye list of shame kuwa ni fisadi!
Win some and loose some game ! Unaopamua kuuwa nyoka , hutakiwi kuchagua ni jiwe la ukubwa gani au fimbo ya mti gani utumie .
Yes lowassa alikuwa fisadi na alishawekwa kwenye list of shame na chadema , lakini kama fisadi huyo angetumika kuing'oa ccm madarakani ulikuwa ni uamuzi wa busara sana.
 
Yani kwamba angempigia kampeni Lowassa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha upinzani?
For the record slaa ndio alishauri lowassa apokelewe Chadema na kwenye mapokezi ya lowasa chadema slaa alikuwepo.
Upepo ulibadilika baada ya mama josephine kuhisi ataukosa u first lady , nadhani ni yale maongezi ya pillow talk usiku kwa wanandoa ndo slaa akabadili msimamo wake juu kwa juu na kupindua meza.
 
Ni kisasi cha Mafupa kinaendelea...

Kisasi cha wakoloni dhidi ya wapigania uhuru na wapenda haki duniani kote.

Serikali nyingi za nchi changa, hasa Afrika zimetumbukia kwenye mtego wa kuwa mawakala wa watawala wao wa kikoloni.

Hilo la ubalozi wa Dr Slaa ni punje tu ya mtama kwenye kapu kubwa.

Suala zima la bandari, pamoja na maslahi ya muda mrefu ya hao jamaa, ni sehemu ya kisasi chao dhidi ya waliopigania uhuru na kuwaondoa kwenye himaya ya Zenj.

Kisasi ni chakula kinacholika vizuri zaidi kikiwa kimepoa.

Watanzania amkeni.
 
Acha utoto Josephine ndiyo nani kwenye siasa.Lowasa alikuwa na watu kutoka wapi?kubalini mulichemsha,sasa ata Lowasa angeshinda unadhani system ingempa nchi?
Nisije nikawa na bishana na mtoto ! Wakati kiwete anachukua nchi 2005 lowasa alikuwa popular kama kikwete..
Hadi magufuli anaupata ugombea urais ilikuwa ni hofu ya kikwete kuwa nchi asije kuchukua lowasa akiogopa visasi.
Josephine wa slaa ni kama eva wa adam Au delila wa samson , wote walitumika kuwarubuni na kuwakalisha wananume mashababi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…