taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 540
hili la kibanda sijui mtaalam wa anga anajinasuaje maana limemkalia vibaya. anyway nashauri ajitokeze kukanusha vinginevyo hili lita-injur reputation ya cdm totally
Mtandao wa Membe ndani ya CCM unahusika moja kwa moja na tukio la kupigwa kwa Kibanda ila wanajaribu kupotezea.