Kuteua watu kabla ya kuwajulisha: Wapi kwingine duniani wanafanya hivyo?

Mtu alishasema ndoto yake ilikuwa awe mhudumu wa kwenye ndege .

Shule ikamshinda kidato cha nne akapiga bashite akaamua aolewe mke wa 4 akiwa na miaka 18

Do you expect anything tangible from her?
Shule ikikushinda unasoma mzumbe na Stanford university?🤣🤣🤣🤣
 
kwenye kazi za umma hatuendi kucheza wala kusherhekea, tunakwenda kufanya kazi za kutumikia wanaichi kwa bidii, weledi na umakini mkubwa sana 🐒

nasisitiza furaha binafsi zifanyike kibinafsi, sio kwasababu ya kupata kazi ya kutumikia umma ambayo ni ngumu mno huwezi furahia hata kidogo 🐒
 
Hatari sana mkuu. Heshima ya ikulu imebagazwa sana
 
Kuna Mzee moja enzi za Mkapa alitumiwa ujumbe WA fax enzi hizo kuwa ameteuliwa kwenye Bodi, Yule Mzee alikataa, Mosi hakutaarifiwa, pili aliona ni wakati wa watu wengine kulitumikia Taifa.
 
Nakubaliana na wewe kwenye vigezo vya umri. Dhana ya kustaafu utumishi wa umma kwa lazima wakati bado una akili timamu na a lot of experience ya kufanya kazi sijawahi kuielewa hata kidogo! Wajerumani ukiwa na zaidi ya miaka 60 na bado unataka kupiga kazi kwa hiari wewe ni zaidi ya lulu.
 
Ni kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!

Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Halafu wanakuja kubinafsisha rasilimali za nchi kwa bei ya kutupa kwa justification kuwa hatuwezi kuendesha makampuni ya serikali kumbe failure kubwa ni ofisi kuu ya nchi.
 
Tume compromise kwenye mentorship na carrier growth. Watu hawana patience ya ku grow both in age and wisdom huku aki develop smoothly up the ladder...Wanataka kwenda aharaka haraka huku wakiwa hawajapata experience wala exposure yakutosha.

Pia tabia za wale senior kupenda kuonekana wao ndiyo best hupenda kuweka watu ambao siyo experienced wala capable Ili wao ndiyo waonekane kuwa excellent, the problem is hao wasaidizi ndiyo ambao watakufanya ionekane huna backbone
 
No kustaafu ni muhimu, lakini zile protocol za carrier growth zisirukwe...Watu wa grow slowly Ili anapofika nafasi ya juu awe amebakiza say 5 years za kustaafu. Hiyo itasaidia pia kuleta new thinking na consistency katika utenedaji kwakua watakuwa wamekuja pamoja slowly katika mfumo. Inaondoa fatigue na pia mtu kukaa madarakani sana...

Unaporuhusu wastaafu waendelee kubaki unaleta shida nyingine inayofanana na hiyo ya kurukia nafasi za juu bila kuwa na mfumo, kwakua ndani ya miaka kumi kama hujaweza kuleta tija hata ungekaa 29 years huwezi...Ni vizuri kuleta new energy na motivation kwakua unapoingia sehemu Kwa mara ya kwanza unajisikia kufanya Kwa nguvu na Kwa malengo thabiti Kinyume na kukaa sehemu muda mrefu mpaka unakosa jipya
 
Kwani lile zoezi la kumfanyia mtu vetting kabla ya uteuzi halipo tena siku hizi?
 
Kwani lile zoezi la kumfanyia mtu vetting kabla ya uteuzi halipo tena siku hizi?
Rushwa imekuwa adui mkubwa, vetting ni deal...mpaka upate mtu mwaminifu. Pia hata wale wenye maamuzi hutengeneza hao wa ku vet in favour ya mtu kama wanamhitaji na against kama ni tishio kwao
 
Alafu kuna mpuuzi mmoja humu anamuita bibi chaudele kama mfano wa kiongozi bora wa kike duniani kichekesho kikubwa hiki, yani yani inaonekana hafuatilii mambo kabisa analetewa na yeye anapitisha tuu aliwezaje hata kiongozi wa vikoba 🤔🤔
 
Rushwa imekuwa adui mkubwa, vetting ni deal...mpaka upate mtu mwaminifu. Pia hata wale wenye maamuzi hutengeneza hao wa ku vet in favour ya mtu kama wanamhitaji na against kama ni tishio kwao
Dah! What a bogus country we are in. Zamani mtu akiteuliwa anakuwa ameshapitia huo mchakato wa vetting bila ya yy kufahamu kinachoendelea.
Na wateule walikuwa ni very Loyal kwa Serikali iliyowaweka madarakani.
 
Siku hizi kwa kiasi kikubwa ukiwa muimba pambio bila kuchoka unapewa teuzi kama hongera, ndio maana hata humu paskali mayala hachoki na pambio zake
(kwa sauti ya mshangao kimaasai). Oiye yai! Kwa hiyo usipoyajua na usipoweza kuimba vizuri hayo mapambio ujue huna chako?
Aisee, tutafika lakini tukiwa tumechaka saana.
 
Labda Rais hajakosea. Inawezekana Rais ameona akiteua wafu watampa kile anachotaka.
 
(kwa sauti ya mshangao kimaasai). Oiye yai! Kwa hiyo usipoyajua na usipoweza kuimba vizuri hayo mapambio ujue huna chako?
Aisee, tutafika lakini tukiwa tumechaka saana.
Huoni katika utawala huu machawa wamekua wengi kupita kiasi na katika utawala huu ndio mapambio yana imbwa kwa wingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…