Kuteua Waziri mwanamke Wizara ya ulinzi ni sawa?

Inapaswa tuamke kutoka usingizini.
katika kazi hakuna jinsia sote ni sawa.

Ukianza kuingiza jinsia ndipo unapo haribu kazi.
Wenzetu wakiwa wapo kazini hakuna jinsia ni utendaji wako. Ndio maana utakuta maderava wa basi au wa Treni au Meli ni wanwake.
Utakuta madereva wa maagari ya ujenzi wanawake. Utakuta wanawake kila sehemu.
Tusianze kuwa lazima mwanamke awaongoze wanawake .
Mwanamke anweza kuongoza popote pale kidunia.
Kusema mwanamke anaweza kuongoza popote pale sidhani kama ni kweli sana, pamoja na wingi wao wanawake ila ni wanawake wachache mno ambao ndio wanaweza kuwa na maajabu ya kuwa na uwezo wa kuongoza na ndio maana ni wachache tu hupata nafasi za kuongoza pamoja na kuwa jinsia yao wako wengi duniani. Nakumbuka hata Mama Samia mwenyewe aliwahi kusema kwamba anaona wanawake wengi ila wenye sifa za kuwaweka kwenye hizo nafasi ndio wachache wengi hawana sifa, Taifa kama Marekani hadi leo wanawake hawajaweza kutoboa kushika nafasi ya urais.
 
Nidhambi kubwa na dharau mbaya Sana ila mazuzu hayajui.
Mwanaume halindwi na mwanamke na cdf hatakiwi kupokea maelekezo toka kwa mwanamke.
Urais ndo haifai kabisaaaaaaaaaaaa....
 
Uyo waziri unajua job description yake? Mi nadhani nchi ina weza kukaa bila hata uyo waziri na ikaenda tu, kumbuka watendaji wakuu wa hizi wizara ni makatibu wakuu. Na nadhani cdf hapokei maelekezo makubwa ya waziri
 
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.

Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?

Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
hata mkuu wa majeshi wampe demu tuu. Ili tujue tz imekuwa ya mademu.
 
Nidhambi kubwa na dharau mbaya Sana ila mazuzu hayajui.
Mwanaume halindwi na mwanamke na cdf hatakiwi kupokea maelekezo toka kwa mwanamke.
Urais ndo haifai kabisaaaaaaaaaaaa....
Siku wanajeshi wakikorofisha huyu Waziri hawezi kwenda kuwaambia chochote, atajingia kabatini na kulia.
 
Ulinzi wote wa nchi upo kwa kina mama...Amri jeshi Mkuu wa nchi mwanamama, Waziri wa Ulinzi wa nchi mwanamama.....ni maendeleo!!

Tukisema jamani tuigeukie katiba yetu ya mwaka 77 tuifumue imechoka, CCM hawataki.
 
Umeuliza swali wizara ya ulinzi. Ukatoa maelezo na takwimu. Halafu ukatolea mfano wizara ya uvuvi.

Twende taratibu ndugu

Ni sawa kumuweka mwanamke kuwa waziri kwenye wizara hiyo

Kinachoangaliwa ni uwezo wa aliyeteuliwa kuweza kutumikia nafasi hiyo. Na sio jinsia wala maumbile yake

Ni dhahiri aliyechaguliwa ana sifa kubwa kuliko nafasi aliyowekwa.

Ifahamike sasa hivi tunahitaji mbinu zaidi kwenye ulinzi kuliko kutumia mitutu na bunduki.

Tunafwatilia hata athari ya mafundisho tunayopewa hususan ya kiimani na taaluma mbali mbali ambazo mara nyingi zimetumika kuhusika na uhalifu.
 
Kuna mambo mtu akipinga namuona ni kichaa kiukweli haifai na haipendezi mwanamke kuwa waziri wa ulinzi hata kuwa raisi hata huyu raisi yupo kwa sababu ya katiba ila hata ingetokea anagombea hawezi kupata mwanamke hawezi kulinda nchi inawezekanaje mkeo alinde mji wako eti wewe mwanaume umelala tunapofika kwenye wizara nyeti kama ulinzi tuache utani kabisa na maswala ya ulinzi wa mwananchi cha msingi kwa sababu raisi ni mama sasa hivi najua anatamani kila sekta asimamie mwanamke akiamini kuwa huko zamani wanawake walitengwa sana hivyo ataamuwa atakavyo ila haipaswi kuwa hivyo kuna majukumu ukimpa mwanamke unambebesha tuzigo mzito usio saizi yake tuombee tu nchini amani itawale kabisa ila kikitokea chochote kibaya japo hatuombi kitokeee huyu waziri hawezi kumudu jeshi ni sekta jingine kabisa ambayo hata sauti na sura ya mtoa amri inazingatiwa .
 
Iko siku katiba itawachanganya hata wanaCCM wenyewe, tutaelewana TU.
 
Umeuliza swali wizara ya ulinzi. Ukatoa maelezo na takwimu. Halafu ukatolea mfano wizara ya uvuvi.

Twende taratibu ndugu

Ni sawa kumuweka mwanamke kuwa waziri kwenye wizara hiyo

Kinachoangaliwa ni uwezo wa aliyeteuliwa kuweza kutumikia nafasi hiyo. Na sio jinsia wala maumbile yake

Ni dhahiri aliyechaguliwa ana sifa kubwa kuliko nafasi aliyowekwa.

Ifahamike sasa hivi tunahitaji mbinu zaidi kwenye ulinzi kuliko kutumia mitutu na bunduki.

Tunafwatilia hata athari ya mafundisho tunayopewa hususan ya kiimani na taaluma mbali mbali ambazo mara nyingi zimetumika kuhusika na uhalifu.
Kwani Quran na Bibilia vinasemaje kuhusu ulinzi wa nchi?
 
Kuna mambo mtu akipinga namuona ni kichaa kiukweli haifai na haipendezi mwanamke kuwa waziri wa ulinzi hata kuwa raisi hata huyu raisi yupo kwa sababu ya katiba ila hata ingetokea anagombea hawezi kupata mwanamke hawezi kulinda nchi inawezekanaje mkeo alinde mji wako eti wewe mwanaume umelala tunapofika kwenye wizara nyeti kama ulinzi tuache utani kabisa na maswala ya ulinzi wa mwananchi cha msingi kwa sababu raisi ni mama sasa hivi najua anatamani kila sekta asimamie mwanamke akiamini kuwa huko zamani wanawake walitengwa sana hivyo ataamuwa atakavyo ila haipaswi kuwa hivyo kuna majukumu ukimpa mwanamke unambebesha tuzigo mzito usio saizi yake tuombee tu nchini amani itawale kabisa ila kikitokea chochote kibaya japo hatuombi kitokeee huyu waziri hawezi kumudu jeshi ni sekta jingine kabisa ambayo hata sauti na sura ya mtoa amri inazingatiwa .
Ni utovu wa nidhamu kumfanya mama alale usingizi wa mang'amung'am kusikiliza askari wanasema nini ilihali wanaume wamelala fofofo. Kwani tunataka nini hasa?
 
Kwani Quran na Bibilia vinasemaje kuhusu ulinzi wa nchi?
Hatutumii vitabu vya dini kutafuta viongozi.

Sheria tulizo nazo zina haki sawa inapokuja kwenye nafasi za uongozi.

Hata kama mhusika ni mlemavu, na ikathibitika kuwa ana uwezo wa kumudu nafasi hiyo vizuri anateuliwa.
 
Kuna mambo mtu akipinga namuona ni kichaa kiukweli haifai na haipendezi mwanamke kuwa waziri wa ulinzi hata kuwa raisi hata huyu raisi yupo kwa sababu ya katiba ila hata ingetokea anagombea hawezi kupata mwanamke hawezi kulinda nchi inawezekanaje mkeo alinde mji wako eti wewe mwanaume umelala tunapofika kwenye wizara nyeti kama ulinzi tuache utani kabisa na maswala ya ulinzi wa mwananchi cha msingi kwa sababu raisi ni mama sasa hivi najua anatamani kila sekta asimamie mwanamke akiamini kuwa huko zamani wanawake walitengwa sana hivyo ataamuwa atakavyo ila haipaswi kuwa hivyo kuna majukumu ukimpa mwanamke unambebesha tuzigo mzito usio saizi yake tuombee tu nchini amani itawale kabisa ila kikitokea chochote kibaya japo hatuombi kitokeee huyu waziri hawezi kumudu jeshi ni sekta jingine kabisa ambayo hata sauti na sura ya mtoa amri inazingatiwa .
Kama mtu akitoa hoja kupingana na hoja yako wewe unamuona kichaa uko na shida.

Sisemi kumtetea mtu, huyo mama aliyechaguliwa anafaa. Ameitumikia SADC kwa vipindi vitatu mfululizo.

Amekuwa mwenyekiti kwenye kamati za taasisi nyeti sana ikiwemo TBS, BRELA, Vyuo vikuu mbali mbali, VIPIMO, VETA na taasisi nyingine nzito.

Amefanya kazi ambazo kwa upeo wako huwezi kuzitambua kusaidia taasisi za fedha. Na anauwezo hata wa kuwa waziri wa fedha wa nchi hii.

Sisiemi mengi, wala sipigi debe cv yake na attach ina page zaidi ya kumi zisome.

Kuwa kwa vile ni mwanamke mna majudge kwa uanamke wake bila kujua accomplishment zake mna kosea sana
 
Attachments

Hii wizara nilikua napenda siku moja iongozwe na Mtu aliyetoka TMI ,JWTZ, TISS .

Mtu mwenye Vinasaba Kazikazi.

Sasa anatuletea mwanamke, kisa yeye ni mwanamke.... Akitegemea Mwanamke atamsaidia Mwanamke yeye kupata uungaji mkono wa Hivo vyombo.
Siyo sahihi kwasababu Sheria iliyotungwa na Bunge haimruhusu mwanamke kuwa Kamanda jeshini
 
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.

Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?

Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Kwani tatizo lipo wapi wewe mwenye akili fupi kama ya babu yako wa kisukuma. Acha ushamba, mmesomeshwa hadi darasa la saba na form four lakini akili hazikuwi.
 
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.

Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?

Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Wewe inaonekana umezaliwa kilabuni, tena kwenye pombe za kimpumu kama si wanzuki. Yaani mtu mzima na akili zako unaongea pumba, kweli wewe ni fala kweli.
 
Waziri wa ulinzi anashikilia dhamana ya kisiasa ya wizara hiyo. Si kweli kwamba mtu ataishindwa wizara hiyo au kukosa heshima kwa sababu tu ya jinsi yake.

Mambo ya baadhi ya watu au makabila kuwa na mifumo dume au mifumo jike yanatakiwa kubaki historia kwa muktadha wa uongozi.
 
Back
Top Bottom