Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Ubaguzi ni kitu kibaya sana.Waziri wa ulinzi anashikilia dhamana ya kisiasa ya wizara hiyo. Si kweli kwamba mtu ataishindwa wizara hiyo au kukosa heshima kwa sababu tu ya jinsi yake.
Mambo ya baadhi ya watu au makabila kuwa na mifumo dume au mifumo jike yanatakiwa kubaki historia kwa muktadha wa uongozi.
yaani leo mtoa mada hamtaki waziri wa ulinzi kwa sababu tu ni mwanamke, kesho atateuliwa waziri mwanaume lakini mzaramo, jamaa atapinga tena kwa sababu wakurya na wasukuma wa jeshini "wanawadharau sana wazaramo".
Yaani jamaa anataka waziri hadi awe mwanaume, ana misuli mikubwa na mingi, mwili jumba, alafu mweusi "tiii", na ikibidi awe na macho mekunduuuu, na aitwe Sarakikya, Waitara, Matiko et al.
Tuna safari ndefu sana kama taifa.
kavulata