Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hilo ni tatizo la culture. Culture ndizo zinaaminisha mwanamke ni mtu wa kufanya domestic roles kama kulea watoto na kusubiri mikate kutoka kwa bread winner ambaye ni mume.Gender kwa afrika zinaanza kupewa mkazo kuanzia chini kabisa. Wasichana wenye akili wakimaliza shule na kufaulu badala ya kuendelea mbele wanalazimishwa kuolewa, haya ni madhara ya masuala ya gender.
Wasichana wanakutana na unyanyapaa wa kila aina maofisini, haya ni madhara ya masuala ya gender kijamii.
Huyu Mama alipokabidhiwa cheo ikulu rais aliongea ni kwanini kampa yeye cheo kwa uzoefu alioupata huko SADC, tumuache apige kazi.
1. Kazi ya waziri ni kusimamia sera, haendi kule kufyatua mizinga wala kwenda Congo kwenye Troops za UNIdadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Nchi zilizopeleka wanaume wengi vitani wala hazioni tofauti ya mwanaume na mwanamke, kwao yote ni sawa tu. Wakati vita vikiwa vimepamba moto wanaume wao wengi walifia vitani mfano Ukraine na Poland hivyo wanawake wakachukua kazi ngumu zilizoachwa na wanaume.Yes hilo ni tatizo la culture. Culture ndizo zinaaminisha mwanamke ni mtu wa kufanya domestic roles kama kulea watoto na kusubiri mikate kutoka kwa bread winner ambaye ni mume.
Kwa Ulaya na nchi zilizoendelea culture kama hizi zinafutika drastically...ndiyo maana unaona mtu kama Angela Merkel kagonga miaka 16 ya Ukansela.
Watu wamechukulia advantage ya kibailojia wakaigeuza katika mambo ya utamaduni katika gender. Kwamba mwanaume anaweka mimba na mwanamke analea...basi wakadhani ni sheria ya Mungu. Tuache wanawake wenye uwezo wafanye kazi.
Mkuu siongezi kitu.Ningekuwa karibu na wewe ningekualika kwa chakula ili tubadilishane mawazo.Nchi zilizopeleka wanaume wengi vitani wala hazioni tofauti ya mwanaume na mwanamke, kwao yote ni sawa tu. Wakati vita vikiwa vimepamba moto wanaume wao wengi walifia vitani mfano Ukraine na Poland hivyo wanawake wakachukua kazi ngumu zilizoachwa na wanaume.
Madereva wengi wa treni za umeme za mijini ni wanawake, na wafanya kazi ngumu wengi ni wanawake, na wanaume hawaoni kosa lolote la maisha ya aina hii kuendelea.
Nchi zetu za kiafrika hazikuwa karibu sana na vita za dunia japo zilitoa askari ingawa ni kwa uchache. Hivyo mfume dume una nguvu sana afrika.
Mwanaume wa kiafrika anaweza kufanya mambo ya kipuuzi madarakani na hakuna atakayekosoa, ngoja upuuzi huo ufanywe na mwanamke!. Matusi yatakuwa ni mara mbili, kwanza kwa makosa yenyewe aliyoyafanya na pili kwa ile hali yake ya kuwa ni mwanamke.
Kazi aliyonayo Mama Samia ni kuua kabisa akili hizi zenye upeo mdogo ndani yake kwa kuwa mbunifu kadri awezavyo na kutokubali uongo na ushawishi mkubwa alionao mwanaume.
Kwanza sheria ya ulinzi inazuia mwanamke kuwa Kamanda. Halafu tujiulize Ni nchi gani duniani iliwahi mteua waziri wa ulinzi mwanamama?Binafsi sihoji uwezo wake wa kitaaluma na uzoefu wake kwenye nyanja mbalimbali. Mimi naongelea taasisi ambayo 98% ya wafanyakazi wake ni WA jinsia moja utapelekaje kiongozi wa jinsia ingine? Yaani shule ya wasichana watupu halafu mkuu wake wa shule ni mwanaume hata kama ni professor ni sawa?
Kaka Mila na desturi za Africa, maendeleo ya elimu na uchumi wa Afrika havijafika level ya 50 kwa 50. Bado tuko stage ambayo mtoto wa kike anaambiwa na mzazi wake usifaulu mtihani ili uolewe, wako wanaosema usiitumie choo kimoja na mwanamke, Kuna wanaoamini mwanamke akiwa kwenye hedhi ni mkosi, najisi, laana, nk. Jamii yenye watu wanaoamini hivyo wako tayari kuona kiongozi mwanamke? Tuna kazi ya kuielimisha jamii yetu kwanza kabla ya kuwapelekea kiongozi mwanamkeNchi zilizopeleka wanaume wengi vitani wala hazioni tofauti ya mwanaume na mwanamke, kwao yote ni sawa tu. Wakati vita vikiwa vimepamba moto wanaume wao wengi walifia vitani mfano Ukraine na Poland hivyo wanawake wakachukua kazi ngumu zilizoachwa na wanaume.
Madereva wengi wa treni za umeme za mijini ni wanawake, na wafanya kazi ngumu wengi ni wanawake, na wanaume hawaoni kosa lolote la maisha ya aina hii kuendelea.
Nchi zetu za kiafrika hazikuwa karibu sana na vita za dunia japo zilitoa askari ingawa ni kwa uchache. Hivyo mfume dume una nguvu sana afrika.
Mwanaume wa kiafrika anaweza kufanya mambo ya kipuuzi madarakani na hakuna atakayekosoa, ngoja upuuzi huo ufanywe na mwanamke!. Matusi yatakuwa ni mara mbili, kwanza kwa makosa yenyewe aliyoyafanya na pili kwa ile hali yake ya kuwa ni mwanamke.
Kazi aliyonayo Mama Samia ni kuua kabisa akili hizi zenye upeo mdogo ndani yake kwa kuwa mbunifu kadri awezavyo na kutokubali uongo na ushawishi mkubwa alionao mwanaume.
Acha umagharibi wewe... hakuna cha 2021 au ujima. Mwanaume atabaki kuwa mwanaume, na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Hata mwaka 4021 itakuwa hivyohivyo.Hakuna kitu kibaya kama kuishi zama za ujima kifikra huku kimwili upo 2021.Kenya,South Africa,Macedonia, Spain,Netherlands na France ni mojawapo ya Nchi duniani zenye mawaziri wa ulinzi wanawake.Hao wenye fikira hizo fikiria wamelelewa na mama zao na bado wana mawazo kama wanaishi miaka 100 iliyopita.Kinachoangaliwa ni uwezo wa mtu sio jinsia yake.Kuna wanaume wengi wameaminiwa kwenye nafasi kubwa kubwa na wamekuwa failure kiutendaji na kiuongozi. Karibu wauaji viongozi na madikteta wote ni wanaume lakini hakuna anayenasibisha uwezo wao mdogo na ukatili wao na jinsia yao.
ulaya ipi? chukulia Marekani ambayo iko siti za mbele lakini hakuna mwanamke aliyewahi kushika uwaziri wa ulinzi wala urais. mpaka leo wabunge na mawaziri sio 50/50, ufaransa hivyohivyo, uingereza ni mama magreth Cather tu, May na yule mwingine walipita pale kama upepo tu.Yes hilo ni tatizo la culture. Culture ndizo zinaaminisha mwanamke ni mtu wa kufanya domestic roles kama kulea watoto na kusubiri mikate kutoka kwa bread winner ambaye ni mume.