antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Taswira wanayotoa ni wazi tu kwamba wamepoteanaSalaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Saa SITA ya mchana wanatembea Kwa kupapasa,Taswira ni kwamba wamepoteana
Mwenezi Kamkaripia nani? Hivi nyie CHADEMA mtaelevuka lini?Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Unaweza kututajia hapa majukumu ya KM wa CCM kama yalivyoainishwa ndani ya Katiba ya chama?Mwenezi Kamkaripia nani? Hivi nyie CHADEMA mtaelevuka lini?
Kwani KM anamwogopa Mwenezi?Mwenezi afate ngoma ya KM, vinginevyo ataondolewa na kupewa ubalozi huko Gaza
👆Kwishaa habari yake
Taswira wanaojenga ni kuwa Makonda anaonekana ni ''mchapakazi'' na katibu anaonekana hafai. Kumbuka uko kwenye nchi ya ''ma-nyumbu'' wasiyojua uongozi bora ni nini.Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Tatizo wote hao Wana misimamo hatari!!👆Kwishaa habari yake
Unamaanisha KM hatoshi sio?Taswira wanaojenga ni kuwa Makonda anaonekana ni ''mchapakazi'' na katibu anaonekana hafai. Kumbuka uko kwenye nchi ya ''ma-nyumbu'' wasiyojua uongozi bora ni nini.
CCM Bila ndumba hufiki popoteHalafu wote watu wa ndumba na ngayi
Chama chao hakina mvuto tena ndio maana unawaona kama wamechanganyiwa.Tatizo wote hao Wana misimamo hatari!!
Sisi tusubiri matokeo.
Sasa kupiga simu , kuwahoji na kutoa maelekezo NDO kuwakaripia?Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Salaam, Shalom!!

Alisemaje? Mifano ipi alitoa?Sasa kupiga simu , kuwahoji na kutoa maelekezo NDO kuwakaripia?
ivi uulimsikiliza Nchimbi vizui? mbona alitoa mpaka miano ya maana ya kuwakaripia
Umenisoma vizuri? Mkuu rudia tena. Nimesema kuwa kwenye nchi ya ma-nyumbu, usanii wa Bashite hupendwa zaidi kuliko wachapakazi wa kweli. Huu ni ukweli mchungu. Nikuulize: Huko Bashite anakopita kila siku tena na msafara wa kitajiri akijifanya kutatua matatizo, kwa nini anapata wasikilizaji wengi kabisa na wengine wanafikia hatua ya kumlilia shida zao? Jibu ni kwamba wananchi hawana upeo wa kuona kuwa hata huyo Bashite na msafara wake, na ufanyajikazi wake ndiye anasababisha matatizo wanayotaka yatatuliwe. Kwa kifupi ni kwamba wananchi wanaliangukia na kulisihi tatizo kubwa liwatatulie matatizo yao madogo madogo.Unamaanisha KM hatoshi sio?
Kwani tafsiri ya uchapakazi ni Kutoa maelekezo majukwaani?
Ikiwa wananchi ndo wapiga kura,Umenisoma vizuri? Mkuu rudia tena. Nimesema kuwa kwenye nchi ya ma-nyumbu, usanii wa Bashite hupendwa zaidi kuliko wachapakazi wa kweli. Huu ni ukweli mchungu. Nikuulize: Huko Bashite anakopita kila siku tena na msafara wa kitajiri akijifanya kutatua matatizo, kwa nini anapata wasikilizaji wengi kabisa na wengine wanafikia hatua ya kumlilia shida zao? Jibu ni kwamba wananchi hawana upeo wa kuona kuwa hata huyo Bashite na msafara wake, na ufanyajikazi wake ndiye anasababisha matatizo wanayotaka yatatuliwe. Kwa kifupi ni kwamba wananchi wanaliangukia na kulisihi tatizo kubwa liwatatulie matatizo yao madogo madogo.
Ikiwa Mwenezi Yuko sahihi, huoni Kuna haja ya wao kukaa pamoja vikaoni na Kutoka na uelekeo mmoja wa chama kuelekea Uchaguzi?Utendaji kazi wa Chama Tawala CCM, lazima uwekewe mipaka ya wazi, kwani Chama kisije kuwa serikali, ila kwa uzembe mkubwa wa viongozi wengi wa serikali, kazi anayofanya Makonda itasaidia sana kuacha uzembe kwa viongozi wengi serikalini, kwani kuna uzembe mwingi ambao Chama kinahitaji kuingilia kati serikali haraka, hivyo bora Makonda aende hivyo hivyo, itasaidia sana wananchi, na pia kusaidia Chama ingawa sio utaratibu mzuri ila hakuna jinsi..!!