kama huyu mwamba hayupo rikizo tofauti na taarifa zao wanazotuaminisha, ikiwa huyu mwamba amedhurika kwa namna yeyote ile...basi Tanzania si mahali salama pa kuishi binadamu, huwezi mdhuru kiongozi akiwa madarakani alafu wenye mamlaka ya ulinzi na usalama wapowapo tu wanakenua meno na kudanganya umma. Hatuwezi kuwa na amani wala furaha kuishi katika nchi ambayo hata viongozi wake wanadhulika madarakani..tusidanganyane. Watueleze huyu kipenzi cha watu wengi yu wapi??
 
Kuna wakati TUJITAHIDI kupunguza umuhimu kwenye maisha ya watu. Ina faida kubwa sana hii. Usipohusishwa na jambo binafsi basi usijihusishe. Huu ndio uungwana
ni mkuu wa mkoa kama sijakosea so ni public figure hiyo
 
hawalipwi hao waandishi,uchunguzi wataufanyaje
 
Ukiwa investigative journslist utapotezwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…