Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Youtube zimejaza tetesi za kuombea Views tu.

Na Chawa nao wa ccm wameuchuna hawana habari na Kada mwenzao.

Hawa jamaa hawapendani.
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.

Watanzania mna shida ya akili sana si mshaambiwa yuko likizo mnataka nin sasa,na makonda naona kaamua kutembea na hii kiki
 
Yaani Wamasai ardhi yao imeuzwa bado wanaulizana,,"Kulikoni?"
Inanikumbusha tulivyokuwa shule ya msingi. Watoto wanacheza. Tupo darasani,wakati uapokaa kwenye kiti,mtu anakiondoa,halafu you go all the way to the floor,unakaa kwenye sakafu. Halafu watu wote darasani wanacheka," Ha ha ha"
Sasa Wamasai majina yao yameandikishwa katika vituo vya kupiga kura ambavyo viko Tanga.
Kuhusu mchongo unakuja wewe. The cry of the people has reached Heaven.
What is happening must be investigated.
Endelea kupaza sauti ya HAKI.

Mungu anasikia.
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
wewe mama yako akiwa leba unaweza kutangaza au kumpiga picha na kurusha?
 
Kuna wakati TUJITAHIDI kupunguza umuhimu kwenye maisha ya watu. Ina faida kubwa sana hii. Usipohusishwa na jambo binafsi basi usijihusishe. Huu ndio uungwana
Huyu si mtu wa kawaida. Ni kiongozi, ambaye analipwa mshahara kwa Kodi zetu.
Ndiyo maana tuna haki ya kuuliza alipo.
 
Nina wasi wasi, mchezo unachezwa ili kumpoteza lisu ionekane kwa kuwa konda boy kapotea na lissu apotezwe kubalance

Watu wa kitengo hawana akili nowdays reasoning yao ni ndogo sana
 
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.

Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.

Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Huyo mtafuta kiki za kindezi mbona yupo hai na mipango mingi ya upigaji inaendelea?
 
Back
Top Bottom