macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Haya ndiyo mawazo ya ''viwembe'' wa Bongo!Unateseka ukiwa wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndiyo mawazo ya ''viwembe'' wa Bongo!Unateseka ukiwa wapi
Yap ni mtu binafsi alifanyiwa umafia na majitu.na mambo ya lisu yalikuwa ya mtu binafsi??
Kumbe tunaudhika wengi! Ingawa wao wanadai kuwa 'ukiona mtu anahangaika na vitu vidogo jua uzee umemkalia kooni'. Wanadhani haya makosa ni madogo wakati ni makubwa. Fikiria mtu anasema = njoo apa; unaweza kufikiria anataka ufanye kama kama jana Mwambukusi alivyokuwa ana apa. Kumbe anasema njoo hapa. L na R siku hizi siyo tatizo la kanda ya ziwa bali ati ni modernisation! Majambo ni fululu tutuna mtihan sana.kama waweka L badala ya R
Kuna wakati TUJITAHIDI kupunguza umuhimu kwenye maisha ya watu. Ina faida kubwa sana hii. Usipohusishwa na jambo binafsi basi usijihusishe. Huu ndio uungwana
Ikitokea kwa mfano kwenye familia yenu babako akaondoka bila taarifa na family haijui je, ni jukumu la nani kufuatilia kujua alipo?Mambo ya mtu binafsi tuyaache kwake mtu mwenyewe. Tuchape kazi tuendelee na mengine
Kuwa makini joh sije ukaenda ndaniSerikali ya mama imemuua makonda.
Familia itawajibika kumtafuta maana huyu ni baba Familia. Je huyo ameondoka kwenye Familia yake? We umejuajeIkitokea kwa mfano kwenye familia yenu babako akaondoka bila taarifa na family haijui je, ni jukumu la nani kufuatilia kujua alipo?
Watuambie Sasa kiongozi wetu wa umma Yuko wapiKuwa makini joh sije ukaenda ndani
Inateuliwa na kuapishwa ndani ya miezi 3 unaenda likizomwenye takwimu za muda ambao DAB hajaonekana atupe. Ila kuna watu wanasema yuko likizo kimyakimya akisoma upepo, im not sure
Ngoja tuone taarifa za habari baadae watasemajereally?
Kuna haja kubwa sana uwepo wa ID fake kuondolewa hapa JF ili tufahamishane, maana unakuta mtu unamjibu mwanao kwa adabu badala ya kumpa na kofi la ufahamu 😐!.Familia itawajibika kumtafuta maana huyu ni baba Familia. Je huyo ameondoka kwenye Familia yake? We umejuaje
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.
Investigative media...hazitaki watu wenye njaa.Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania hatuna Media za Kiuchunguzi yaani "investigative media" Kama zingekuwepo kungekuwa na issues nyingi sana zinasanuliwa na wahusika wangekuwa wanajiuliza zinavujaje.