Naona leo l hazikai kabisa 😆Wewe ndio umechemka, kama ulifunga ndoa na mwanamke wako wa kwanza, ukitakiwa uachane nae kwa taraka. Hapo bado siku ukifa atachukua mgao huo. Na bado anaweza kuomba mgawane hizo mali (kama zipo) hata ukiwa hai. Wewe endelea kuvuma mali, ila fahamu bado yupo kwenye mali hizo sababu hujamtariki, mmetengana kitanda tuu.
Mpe taraka ili mmalizane mbele ya sheria kabla. Huyo kisheria bado yupo "entitled" na wewe kupita hayo makaratasi mliyo sainiana huko kanisani au serikarini.
Nimekubali kumalizana nao mkuu. Jamaa walinambia kama nikimalizana nao kesi itakuwa imemalizika kati yangu na wao ila nikishindwa ndo itaenda mbele zaidiMkuu, usitake mambo yawe mengi kuwa mpole, huna cha kujitetea.
1. Serikali ndo inasajili na kutoa vyeti vyote vya ndoa haijalishi ni ndoa ya wapi.
2. Ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja, huwezi kufunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine bila kutoa talaka ya ndoa ya kwanza.
3. Kufunga ndoa ya kiserikali ni jaribio la udanganyifu maana unajua kabisa una ndoa nyingine tena unaongeza nyingine.
Wakikupeleka mahakamani hutoboi, malizana nao kabla hujapata hasara zaidi.
Hata hicho kiasi ni kikubwa, akae na bosi amweleze ukweli wote, atasaidiwa.Bwana mdogo, unateseka sana na uteleze😄😄😄
Anyway inaonekana wewe ni mpole sana alafu hupendi discussion na wandewa.
Rudi tena huko BIMA, omba kuonana na maneja.Mpange mpe kifuta jasho hata M4 akulainishie mambo huduma zako zirudi kama awali.Maisha hayana formula na hayahitaji ucomplicate sana.
Kama wewe ni MZALENDO kalipe 10M kiroho safi.Ila kwa majanga uliyo nayo kaza watakufilisi, msala mdogo huo upo ndani ya uwezo wako ongea lugha ya kimataifa(NUMBERS💰).
#EVERYONE HAS A PRICE,MAKE SURE UNALIKUMBUKA HILI KILA WAKATI!!
Huwezi kujua hata hili la Bima mke wa kwanza amemchoma, hakuna mwanamke atakubali kuachwa kienyeji na kumwona mwenzake anakula mema ya nchiNdio madhara ya kutegemea kila kitu kitaenda sawa bila kufuata matakwa ya kisheria. Na ukiachana na hilo la bima, bado huyo mke wa kwanza anaweza dai mgawanyo wa mali utakazopata baada ya wewe kudai mmeachana.
Serikali haina umbea, haijui kama mmevunja ndoa. Kufunga mmepewa cheti, kuachana unategemea maelezo ya mdomo. Kaa tiyari.
Kwahiyo umesubmit vyeti viwili vya ndoa NHIF vya wanawake wawili tofauti si ndio?Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Sheria haina huruma, tena hao NHF ndio kabisaa.Hata hicho kiasi ni kikubwa, akae na bosi amweleze ukweli wote, atasaidiwa.
Hapa ulipigwa mzee.Ameugua baada ya ndoa
Wala hakuna kumchoma, mke wa kwanza ndio anastahili huduma za NHIF, ni mke halali wa ndoa mpaka sasa.Huwezi kujua hata hili la Bima mke wa kwanza amemchoma, hakuna mwanamke atakubali kuachwa kienyeji na kumwona mwenzake anakula mema ya nchi
Mnaingiaga kwemye ndoa mkiwa hamjakomaa akiliNiende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.
Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Wewe naye umechanganyikiwa ndio maana mimi napendekeza wanandoa kwenye kupima afya zao siyo ukimwi tu, afya ya akili ndio checkup muhimu kuliko vyote, Wabongo wengi akili haziko sawa wake kwa waume.Hapa ulipigwa mzee.
Inatakiwa kabla ya ndoa, mkapime kila aina ya ugonjwa. Tena urudie hata mara tatu kuhakikisha hakuna magonjwa yaliyo fichwa.
Huyo mwanamke itakuwa alikuwa na gonjwa lake huko, kapiga kimya ili apate boya wa kumhudumia.
akili za kitoto kwamba angekuwa mzima asinge ugua baadaeHapa ulipigwa mzee.
Inatakiwa kabla ya ndoa, mkapime kila aina ya ugonjwa. Tena urudie hata mara tatu kuhakikisha hakuna magonjwa yaliyo fichwa.
Huyo mwanamke itakuwa alikuwa na gonjwa lake huko, kapiga kimya ili apate boya wa kumhudumia.
Kwa hiyo ukishapima afya ya akili ndio uridhike na kuishia hapo?Wewe naye umechanganyikiwa ndio maana mimi napendekeza wanandoa kwenye kupima afya zao ssiyo ukimwi tu, afya ya akili ndio checkup muhimu kuliko vyote, Wabongo wengi akili haziko sawa wake kwa waume.
Mkono mtupu haulambwi, hiyo ni kesi ya kuhujumu shirika.Kutia huruma sana nikujidhalilisha, atleast azame mfukoni afunike kombe.It shows and preserve self respect!!!Hata hicho kiasi ni kikubwa, akae na bosi amweleze ukweli wote, atasaidiwa.