Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

Wewe ni Wakili? Tafadhali usichafuwe taaluma za watu.

Hakuna Wakili mwenye mwandiko kama wako kama kanya bata.

Heshimu taaluma za watu usiwapake matope.

Moja ya sifa ya Wanasheria ni kujuwa kuandika vizuri.
😁😁😁 mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission?
 
😁😁😁 mkuu kwahiyo hata comments za jf unataka niandike kama naandaa written submission?
Kitu cha kwanza hajajadili hoja, amemshambulia mtoa hoja.

Hiyo ni ad hominem logical fallacy.

Angekosoa hoja tuone makosa ya hoja pengine angeweza kushawishi kwamba ana hoja.
 
Back
Top Bottom