Kutojua umuhimu wa talaka kumenigharimu zaidi ya M10

Hao NHIF walikuwa wanaangaika na nini kumtafuta mke wa kwanza ingali mleta mada hajapeleka document yoyote kumtambulisha?
Au waliona gharama zinakuwa kubwa za matibaki wakatafuta chaka la kujificha na kukatiza huduma kwa mwanachama wao?
Ndio maana namwambia aende mahakamani ili mahakama iamua kosa lake unaweza kukuta hapo mahakama ikasema alipe 1M tu au akapewa onyo na kuambiwa apeleke talaka kuliko hayo mamilioni angetafuta mwanasheria kwanza kwa ushauri kabla ya kuanza kulipa.
Hapo labda mke wake kama ni mwajiliwa aliwai kupeleka cheti cha ndoa yao kama wana watoto nae wananufaika na NHIF linaweza kuwa tatizo
Mkuu, NHIF wana haki ya kuthibitisha kama taarifa ulizopeleka ni za kweli au lah ndio maana wakafukunyua. Pale unapojaza fomu kuna kipengele huwa kimeandikwa kwamba " kama umejaza taarifa za uongo hatua za kisheria zitachukuliwa" au hujawahi kuona hicho kipengele??
Hapo akienda mahakamani anajipeleka mwenyewe machinjiono
1. Amefunga ndoa moja juu ya ndoa nyingine,utapeli.
2. Ameidanganya NHIF kwamba huyu ni mke wake wakati kisheria huyo ni hawara.
Hapo hawezi kuchomoka
 
Nini kinathibitisha ndoa?
Cheti cha serikali imekitoa unasema hawala?
Yeye amefunga ndoa za wake wengi serikalini ni ndoa halali hiyo .
Mwanzo alikuwa na ndoa ya kanisani baadae akaingia ndoa ya wake wengi ya serikali na wakati anafunga ndoa ya pili alisema tayari ana ndoa.
Jamaa ni milionea tayari kuna loophole ya kisheria.
Wewe anza kumuita kwa jina la Qnet.
GOOD MORNING MILIONI aaaah aaaah aaaah
 
Mahakamani siyo sehemu inayofanyakazi kwa maoni yako, ule ni uwanja wa wanasheria kuchuwana kwa hoja si kama unavyofikiri wewe, ingawa mimi siwezi kumshauri option ya kwenda mahakamani mawakili hawana huruma kwenye pesa.
 
Niende tu kwenye mada kwani kichwa imevurugika hata sielewi.
Nilifunga ndoa ya kanisani miaka kadhaa nyuma. Baada ya kama miaka mitatu yandoa tukashindwana kila mtu akawa na maisha yake. Mwaka jana nikafunga ndoa ya serikali na mke mwingine bila kuvunja ile ndoa ya kwanza.
Tatizo limekuja baada ya kumkatia huyu mwanamke bima ya NHIF na kuanza kupokea huduma za matibabu.Ugonjwa wake unatumia garama kubwa sana nadhani hilo ndo lilichangia watu wa bima kuniita.
Nimeitwa nikaambiwa wamechunguza nakugundua kuwa nina ndoa ya kanisani ambayo haijavunjwa na ndoa hiyo ni ya mke mmoja hivyo hii ndoa ya pili ni batili na nimefunga kwa malengo ya kunufaika na bima.
Nimejaribu kuwaelewesha kuwa ndoa ya kwanza imebaki tu kwenye cheti ila hawajataka kuelewa hadi niwaoneshe hati ya talaka.
Mwisho wamenambia watanitumia utaratibu wakulipa gharama zote zilizotumiwa na huyu mwanamke ambazo sio chini ya milioni10.Pamoja na hilo wamesema watafungia kadi za wategemezi wangu wote ikiwemo mimi mwenyewe hadi hilo deni ltakapolipwa lote ndo watazifungulia isipokuwa ile ya mke.
Wamesema nikishindwa kulipa shauri hili litaenda kwa mwajiri na hatimaye mahakamani.
Hapa nilipo napata shida kwani pamoja na kulipa hilo deni bado natakiwa kugharamia matibabu ya mke kwa cash kwani bado hajapona.

Wakuu,kama kuna namna naweza kutoka kwenye hili nisaidieni, ila kama haiwezekani napenda kuwashauri kuwa kilichonipata kikawe funzo kwa kila mwenye kesi inayofanana nahii ya kwangu.
Wewe ni mtu mpumbavu.
 
Nini kinathibitisha ndoa?
Cheti cha serikali imekitoa unasema hawala?
Yeye amefunga ndoa za wake wengi serikalini ni ndoa halali hiyo .
Mwanzo alikuwa na ndoa ya kanisani baadae akaingia ndoa ya wake wengi ya serikali na wakati anafunga ndoa ya pili alisema tayari ana ndoa.
Jamaa ni milionea tayari kuna loophole ya kisheria.
Wewe anza kumuita kwa jina la Qnet.
GOOD MORNING MILIONI aaaah aaaah aaaah
Cheti cha ndoa ndo kinathibitisha ndoa. Ana cheti cha ndoa ya pili ambacho ni batili na amekipata kwa udanganyifu kwa sababu hakumpa talaka mke wake wa kwanza.
Ndoa ya wake wengi aliyofunga ni batili kwa sababu tayari alikuwa na ndoa ya Kanisani ambayo ni ndoa ya mke mmoja. Wakati anafunga ndoa ya pili hakusema ana ndoa nyingine ya Kanisani, angesema hiyo ndoa ya pili isingefungwa, labda kama alisema ana ndoa nyingine ya kimila au kiserikali.
 
Kuanzia sasa kashughulikie taraka ya huyo mke wa kwanza kuhusu bima tafuta namna ya kutatua hiyo changamoto.

Narudia anza kushughurikia taraka ya mke wa kwanza. Vinginevyo utakuja hapa tena ukilia pale huyo mke atakapokuja kudai taraka yeye na mgawanyo wa mali mlizochuma tokea mmeoana na wakati hukuwa unaishi naye.

Hapo ndio utatafuta gunia la mkaa au bastora. Au utatumia kisu kutatua tatizo hilo.
 
Hili ndo la muhimu,atafute talaka yeye na mke wa kwanza waachane kisheria. Akichelewa chelewa atalia kuliko ambulance.
 
Nielewe mkuu.Mke wa kwanza tuliyeachana sijamkatia bima.Huyu wapili ndo nilipeleka cheti cha ndoa ya serikali. Tatzo limekuja baada ya bima kufanya uchunguz wakagundua kuna ndoa ya kanisani ambayo imesajiliwa RITA
Hapa sasa umeeleweka vema. Mwanzoni hukuandika vizuri, kwa maelekezo haya basi tatizo lako si kubwa kama nilivyolifikiria. Linamalizika ukilipambania.
 
Nakuelewa but your American way of life does not apply even a little huku BANANA REPUPLIC!!!

Yeye kama ataamua kulipa hiyo M10 ni yeye ila haibadili chochote.Na wala haitamfanya yeye kupata chochote zaidi ya kuendelea kupoteza hela kwasababu hata baada ya malipo bado wamembania kumuunga na mfumo wa NHIF.

Hapo ndio uone system haipo kukusaidia hata ukicomply zaidi watazidi kukukanyagia.

Kwahiyo huku BANANA REPUBLIC lazima uwe na akili ya kusoma mazingira.Ukitia huruma nothing happens ukicheza michezo ya mjini walau you will save something. These wild dogs hawatakuzingatia,always jua you are the next on the menu!!!

Huyu jamaa ametafutiwa zengwe kutolewa kwenye mfumo kwakua wandewa wamebaini hayo matibabu yanawaingizia hasara badala ya faida.Keep this in mind Mr. MANTIKI!!
Kwanza kabisa hii si American way of life, ni simple logic tu. America kwenyewe watu wanapigana na insurance fraud mpaka leo.

Kila mtu akiingiza beneficiaries kinyemela kinyume na sheria za mfumo, mfumo utaelemewa na kufa.

Hujaelewa kuwa hapa mimi simuongelei mtoa mada tu, naongelea utamaduni wa nchi nzima. Mfumo mzima. Yeye kama mtu mmoja inawezekana kulipa hiyo milioni 10 kusibadili kitu kikubwa, lakini utamaduni wa kutojali mfumo ukikubalika, kila mtu akijiona yeye ni mtu mmoja tu, mfumo mzima utaharibika.

Kama system ina matatizo, yakabili hayo matatizo uyaondoe. Kukubali watu waiharibu zaidi system kwa sababu system ina matatizo hakutatui tatizo, kunaongeza matatizo tu.

Mtu kakubali mwenyewe kwamba kamuingiza mke batili katika mfumo, huyu akikataliwa huduma na kuambiwa alipe unasemaje anatafutiwa zengwe hapa?

Kama Watanzania wengi wanafikiri kama wewe, naanza kuelewa kwa nini hii mifumo inashindwa kufanya kazi.

Wewe ndiye unachangia kuifanya hiyo nchi iwe Banana Republic.

Kabla hata ya kwenye utekelezaji, mawazo yakk yamekaa ki rushwa rushwa, kutafuta njia za nkato.

Na hata wakubwa unaowalaumu, inaonekana unawalaumu kwa sababu wewe huna nafasi ya kuiba tu, ungepata nafasi ya kuiba kama wao, ungeiba tu kwa kusema "hii ni Banana Republic".
 
Nini kinathibitisha ndoa?
Cheti cha serikali imekitoa unasema hawala?
Yeye amefunga ndoa za wake wengi serikalini ni ndoa halali hiyo .
Mwanzo alikuwa na ndoa ya kanisani baadae akaingia ndoa ya wake wengi ya serikali na wakati anafunga ndoa ya pili alisema tayari ana ndoa.
Jamaa ni milionea tayari kuna loophole ya kisheria.
Wewe anza kumuita kwa jina la Qnet.
GOOD MORNING MILIONI aaaah aaaah aaaah
Ukifunga ndoa ya Kikristo, ya mke mmoja, huwezi kufunga ndoa nyingine kabla ndoa hiyo ya kwanza haijamalizwa kwa talaka.

Ukifunga nyingine hiyo nyingine ni batili.
 
Kwanza kabisa hii si American way of life, ni simpke logic tu. Amwrica kwenyewe watu wanapigana na insurance fraud mpaka leo.

Kila mtu akiingiza beneficiaries kinyemela kinyume na sheria za mfumo, mfumo utaelemewa na kufa.

Hujaelewa kuwa hapa mimi simuongelei mtoa mada tu, naongelea utamaduni wa nchi nzima. Mfumo mzima. Yeye kama mtu mmoja inawezekana kulipa hiyo milioni 10 kusibadili kitu kikubwa, lakini utamaduni wa kutojali mfumo ukikubalika, kila mtu akijiona yeye ni mtu mmoja tu, mfumo mzima utaharibika.

Kama system ina matatizo, yakabili hayo matatizo uyaondoe. Kukubali watu waiharibu zaidi system kwa sababu system ina matatizo hakutatui tatizo, kunaongeza matatizo tu.

Mtu kakubali mwenyewe kwamba kamuingiza mke batili katika mfumo, huyu akikataliwa huduma na kuambiwa alipe unasemaje anatafutiwa zengwe hapa?

Kama Watanzania wengi wanafikiri kama wewe, naanza kuelewa kwa nini hii mifumo inashindwa kufanya kazi.

Wewe ndiye unachangia kuifanya hiyo nchi iwe Banana Republic.

Kabla hata ya kwenye utekelezaji, mawazo yakk yamekaa ki rushwa rushwa, kutafuta njia za nkato.

Na hata wakubwa unaowalaumu, inaonekana unawalaumu kwa sababu wewe huna nafasi ya kuiba tu, ungepata nafasi ya kuiba kama wao, ungeiba tu kwa kusema "hii ni Banana Republic".
Blaza welcome back home!!Shida yako wewe umelelewa kishua na kwenye mfumo, mambo safi connection everywhere.System imewabeba sana nyie watoto wa vibosile wa zamani.

Ukifika bongo Hizo logic na Falsafa utaziacha pale Airport.Bongo pesa mukono, aibu utaona wewe!!!.

EVERYTHING IS RIGGED HERE, USITAKE KUNIDANGANYA WE BLACK PEOPLE CAN DO BETTER THAN THIS.NEVER EVER!!!

HAYA NDO MAISHA YETU YA KILA SIKU.LET NOT LIVING IN AMERICA MAKE YOU FORGET YOUR CORRUPT HOMELAND!!!
 
Siongelei Bongo hii, naongelea kuitoa Bongo hapo ilipo na kuipeleka mbele.

Tatizo wewe uko stuck kwenye Bongo iliyopo, huwezi hata kufanya fikra dhahania kuangalia ni vipi tunaweza kutoka hapo.

Hujiruhusu hata kufanya abstract thinking.

Na kuhusu kuja huko sijarudi mwaka wa 14 sasa, na sina mpango wa kurudi kirahisi hata likizo, labda afe mtu wa karibu wa immediate family. Kwa sababu sitaki kuwa disappointed na watu wanaofikiri kama wewe, na mifumo waliyojitengenezea wenyewe wanayoamini haiwezi kubadilika.

I am not going to spend my life limiting myself to Tanzania and its ways.
 
I second you,

Hata mimi huku nipo tu in a DESERT STORM mission ila hesabu zikijipa na mimi ntapakacha kama wewe.🙏🙏

Ila wewe braza unataka ubadili mifumo ukiwa nje ya ulingo.Njoo uwanjani huku,uhubiri maswala ya mabadiliko wakuweke ndani kama MAGWAYI LISSU😄😄😄.BONGO NI SIKIO LA KUFA ANYWAY!
 
I second you bro,

Hata mimi huku tupo tu in a DESERT STOM mission ila hesabu zikijipa na mimi ntapakacha kama wewe.🙏🙏

Ila wewe braza unataka ubadili mifumo ukiwa nje ya ulingi njoo uwanjani huku,uhubiri maswala ya mabadiliko wakuweke ndani kama MAGWAYI LISSU😄😄😄.BONGO NI SIKIO LA KUFA ANYWAY!
Nina haki ya kuishi popote ninapoweza, na haki hiyo hainiondolei haki ya kukosoa mifumo ya nchi niliyozaliwa.

Mimi sitaki kubadili mifumo nikiwa nje ya nchi. That is disingenous.

Naonesha tu logical inconsistencies katika mambo yenu.

Na nimegungua kuwa kuna Watanzania wengi sana ambao nina tofauti nao kubwa sana kifalsafa, kimsingi mimi na wao si wamoja hivyo, na hii habari ya kuona undugu/umoja kwa sababu mmezaliwa nchi moja umuhimu wake unakuzwa sana kupita inavyotakiwa.

Yani kama mimi napingana na rushwa kifalsafa, halafu wao wanatetea rushwa kiutamaduni, inawezekana kinachotuunganisha kwa bahati nasibu ya kuzaliwa nchi moja hakina nguvu kama kinachotutenganisha kwa falsafa tunazoamua kuzifuata wenyewe.

After all, nchi unayozaliwa unazaliwa kwa bahati tu, lakini falsafa unazoamua kuzikubali unazikubaki mwenyewe.

So I feel no deep kinship with these people on account of Tanzania.

Na kama ndiyo wameamua jamii yao iendeshwe kwa rushwarushwa tu, hawakubali hata kidhahania kuipinga hiyo rushwa, basi sawa tu, wajiendee hivyo.

Tatizo mnazidisha umasikini katika dunia, halafu mnalazimisha watu wawasaidie kwa umasikini wenu mnaouzidisha wenyewe. Wakikataa mnawasema wana roho mbaya.

Na pengine ndiyo maana hata watu kama kina Trump wanasema hizi ni hooeless shithole countries na wanakata misaada.

While they have their own problems, wanaweza kuwa justified kusema waangalieni watu wenyewe mnaotaka kuwasaidia wanakumbatia rushwa kiutamaduni, si viongozi tu, mpaka wananchi wa kawaida.

I know you do not represent everyone, but I am talking about your type, which is also sizable.

Na wewe kupakacha huko kutaka kwenda nchi za watu wanaoheshimu mifumo na kukataa rushwa, kabla hujawa na mindset zao huko kifaksafa, hatutaki.

Kwa sababu ndiyo mwanzo wa kwenda kuwaambukiza ujinga wenu huko.
 
Blaza mbona unapandisha sukari 😄😄😄😄😁

WAZUNGU AU NYIE ELITES MTUSAIDIE TU HAKUNA NAMNA.BABU ZAO HAO WAZUNGU WAMEIBA MALI NYINGI SANA HUKU AFRIKA.

INFACT HAMTUSAIDII KITU MNARUDISHA WHAT YOU STOLE FROM AFRIKA.AM PRETTY SURE MNARUDISHA THUMNI YA MLICHOKIIBA.

ANYWAYS,NAONA UMEUKANA NA UTANZANIA WAKO.

NIKUHAKIKISHIE TU NIKIJA HUKO STATES NTAISHI KULINGANA NA MIFUMO.ILA HUKU BONGO LAND TUMEFUNDISHWA KUISHA KULINGANA NA SITUATION/MAZINGIRA.

KIRANGA MSOMI USITUCHUKIE SISI WALALAHOI WAZALENDO TULIOBAKI BONGO, NDIO SISI NI MASKINI ILA NDO HIVYO MKITUKIMBIA MKAACHA KUTUWEKEA MIFUMO SAHIHI MJUE TUTAWAFATA HUKOHUKO YUUUESS😁😁😁😁

#Ok labda nikudokezee tu,mimi ni muumini wa falsafa za NICOLLO MACHIAVELI na FRIEDRICH NIETZSCHE.Falsafa zao ni very practical kwenye hii dunia tambara bovu.
 
hivi kwani ukisema una wake wawili na ukaandaa makubalioano ya kisheria kati yako na bimkubwa kuwa mlikubaliana kuwa na ndoa za wake wengi( sijui atakubali?) kwani kutakuwa na shida gani huko bima? nahisi kama shida itaisha.
 
Back
Top Bottom