Kuna dikteta zaidi ya yule alienyofowa kipengele cha ukomo wa uongozi na akaweka kipya hakuna mwanachama kwenda mahakamani kuhoji ukihoji unafukuzwa chama!
ndio maana tunasema kila siku kwamba jambo la muhimu kuliko yote ni kuondoa ccm kwanzaCCM ni tatizo kwenye nchi hii
Taifa linaangamia kwa mambo ya kipuuzi
Anafikiri atakuwa kwenye hiyo nafasi milele, anafikiri ataishi milele, anafikiri kinga yake atakapoondoka itakuwa ya milele.Kabisa Mkuu huyu dikteta ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Yani pamoja na serikali kuchapisha jedwali la mambo yote waliyokubaliana na wanakamati bado Vifungu vyote vimepita kwa ndiyooooo!!
CCM mmetisha, Vizazi vijavyo vitawakumbuka..
Wacha UJUHA wewe! Tulipata Uhuru ili tuwe huru na tuwe na haki kama ambavyo katiba inaruhusu. Huyu dikteta anaipeleka nchi kuwa sawa na iliyokuwa Serikali ya Wabaguzi wa Afrika Kusini. Dhuluma na udhalimu kila kona nchini.
Anafikiri atakuwa kwenye hiyo nafasi milele, anafikiri ataishi milele, anafikiri kinga yake atakapoondoka itakuwa ya milele.
Aendelee tu kujimlika miguuni, badala ya kumlika na sehemu ya mbali. Historia huwa haidanganyi.
Wacha UJUHA wewe! Tulipata Uhuru ili tuwe huru na tuwe na haki kama ambavyo katiba inaruhusu. Huyu dikteta anaipeleka nchi kuwa sawa na iliyokuwa Serikali ya Wabaguzi wa Afrika Kusini. Dhuluma na udhalimu kila kona nchini.
Nitajie nchi yoyote duniani isiyo na sheria ambayo watu wake wapo Huru wanafanya lolote Walitakalo. Nchi moja tu kaka