Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

Mswaada wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii, yaani hata ule wa kutoa takrima ni nafuu
Hahahaaaa dah umenikumbusha mbali sana mzee dah jamaa hawajielewi kabisa hawa.
Yaani wamekosa haya kabisa walahi
 
Unasubiri vurugu! Kwahiyo mnafanya uhuni wenu ili kuwachochea wapinzani wenu wafanye vurugu. Sasa hapo mvuruga amani ni nani?!

Kwani wewe siku zote hizo hujamfahamu anayeelekea kuvuruga amani hapa nchini mbona anajulikana na watanzania wote siku nyingi.
 
Huo mswada uliopitishwa hauna maana kabisa ngoja tusubiri tuone kama mswada uliondaliwa na Jiwe kama kutakuwa na maana yoyote au ujinga tu.wa kukandamiza upinzani.
 
Yawezekana kabisa hiki chama.kina matatizo yake kama kilivyo chama.kilichopo madarakani, lakini kama tunafikiria kukiondoa ndio suluhu ya matatizo yanayotukabiri kama nchi basi ni dhahiri shahiri tumechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichotokea leo ni cha muhimu sana na historia itajirudia muwe tayari ZENEZULA HIYO THIS TIME the great april26 is inevitble
 
Mswaada wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii, yaani hata ule wa kutoa takrima ni nafuu
Pole! Naona sasa brain inatumia Lissu operating system. The same language, same phraseology, unfortunately, the same lack of reasoning.
 
Hii italeta vurugu ndani ya vyama vya upinzani hatimae kuvidhoofisha maana msajili yuko upande wa ccm watahakikisha wanamtangaza pandikizi lao ndani ya vyama vya upinzani Hii ni mbaya huu mswada una hila za wazi kumbe siasa ni hila?
 
Kwani Mbowe asipokuwa Mwenyekiti Chadema itakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…