Canivor
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 108
- 102
Hahahaaaa dah umenikumbusha mbali sana mzee dah jamaa hawajielewi kabisa hawa.Mswaada wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii, yaani hata ule wa kutoa takrima ni nafuu
Yaani wamekosa haya kabisa walahi