Kama nilivyoahidi: Wajumbe wamewasili muda si mrefu tokea Musoma, kikao kimeanza na JK anatoa hutuba fupi sasa
Points to note are as follows:
Mkapa, Mwinyi na Sumaye hawajahudhuria katika kikao hiki Butiama.
Dr. Shein kafiwa hatoweza kuwepo katika kikao hiki.
More info to come
Mimi hii ya kuwatimua waandishi ndo imenifanya nipige mluzi!whistling...!
Note JK's message in Butiama (a few seconds ago):
"NEC kwa kawaida huwa ni kikao kizito na kinachotoa maamuzi mazito; kwahiyo wanaofikiria kuwa kuna maamuzi mazito yatatokea hawajakosea. Lakini hayatakuwa maamuzi ya kubadili maamuzi ya kisera na kiitikadi katika uchumi au kisiasa; hatutabadili na kuanza kutaifisha mali au kubadili na kufuta siasa ya vyama vingi."
Sasa kazi kwenu kuutafsiri usemi huo
Note JK's message in Butiama (a few seconds ago):
"NEC kwa kawaida huwa ni kikao kizito na kinachotoa maamuzi mazito; kwahiyo wanaofikiria kuwa kuna maamuzi mazito yatatokea hawajakosea. Lakini hayatakuwa maamuzi ya kubadili maamuzi ya kisera na kiitikadi katika uchumi au kisiasa; hatutabadili na kuanza kutaifisha mali au kubadili na kufuta siasa ya vyama vingi."
Mkuu hii ni hatari kubwa sana, naomba sana tuijadili bila kujali tofauti zetu ktk mitazamo ya vyama.Katiba ya CCM inaweka Chama mbelena si Taifa, Katiba inasema mwanachama na kiongozi wajibu wake na uaminifu wake ni kwa Chama kwanza na si Taifa
Mimi hii ya kuwatimua waandishi ndo imenifanya nipige mluzi!
Rev.Kishoka,
Mkuu hii ni hatari kubwa sana, naomba sana tuijadili bila kujali tofauti zetu ktk mitazamo ya vyama.
Katiba inayosema maslahi ya chama mbele ya Taifa inatisha sana!...tafadhali naomba nukuu ya kifungu hicho mkuu.. duh! sikuwahi kuiona.
Note JK's message in Butiama (a few seconds ago):
"NEC kwa kawaida huwa ni kikao kizito na kinachotoa maamuzi mazito; kwahiyo wanaofikiria kuwa kuna maamuzi mazito yatatokea hawajakosea. Lakini hayatakuwa maamuzi ya kubadili maamuzi ya kisera na kiitikadi katika uchumi au kisiasa; hatutabadili na kuanza kutaifisha mali au kubadili na kufuta siasa ya vyama vingi."
Sasa kazi kwenu kuutafsiri usemi huo
Just curious, why do we always appear to be obsessed and overwhelmed by these CCM meetings? Do we expect anything different from their usual ways doing things: cover up, mockery, manipulation of truth and lies, n.k? It seems like some people are expecting some CCM gurus to be fired, have you asked yourself for what and how will that help JK ovecome his shameful incompetence? Do you still doubt that the root of our problems is systemic rather than a problem of a few unscrupulous individuals in CCM? And finally, what makes it good for Mkapa, Mwinyi and Sumaye not to have attended this business as usual CCM meeting?
Jamani kuuliza si ujinga::
Kikao ndio kwanza kinaanza na kina wajumbe 200, sasa JK amejuaje kuwa maamuzi yatatokea kabla wajumbe wa NEC hawajamua au kuvote??
Hawa wajumbe ni rubber stamp au??
Yale yale ikitajwa CCM basi tuje negative...
Kwa hakika NEC ya CCM iiendelee kuwaalika Gavana, CAG, AG, PCCB bosi etc... pale wanapoona wanataka na wao wapate details kutoka kwa watendaji moja kwa moja kuliko kutoka kwenye secretatiat yao..
Hili ni jambo zuri sana... kwa taifa letu.
Mikutano ya NEC inaanza kuwa makini zaidi.
Sijasoma katiba ya CCM kwa muda sasa, lakini naamini hii ni exaggeration of the highest order!
FMES,
Katiba ya CCM inaweka Chama mbelena si Taifa, Katiba inasema mwanachama na kiongozi wajibu wake na uaminifu wake ni kwa Chama kwanza na si Taifa. Hili ni kosa, ndio maana nasema nakuwa vigumu kwa Bunge kuwa na nguvu kuliko NEC! Ndio maana unaona watu wengine hukimbilia kugombea NEC na si Ubunge!
Rev. KIshoka,
Ni kifunga gani hicho cha katiba ya CCM kinasema hivyo? Katiba iko online, ingelikuwa vizuri kama ungecheck kwanza kabla ya kuja na dai kubwa kama hilo.
Katiba ya CCM na pia vyama vingine vya siasa Tanzania hazina kitu kama hacho.
Nakushauri uisome tena. CCM wana makosa mengi sana lakini inabidi tuwafunge kamba kwa facts na sio kuweka hata mambo ambayo hayapo. Tukifanya hivyo na sisi tunageuka na kuwa sawa na hao CCM
Inawezekana kifungu hicho cha katiba hakipo..lakini ni wazi kwamba party influence is absolutely unquestionable!Nenda kawaulize wabunge wa upinzani watakueleza kuwa nani mwenye respect kati yao na wadau wa CCM na utagundua kuwa psychologically...its more likely to find a comfort zone within the rulling party rather than being in the zone of national interests where you might find yourself in big troubles like you've never even imagined before!(THE LIKES OF ZITTO BEING EXPELLED/SUSPENDED FROM THE PARLIAMENT DUE TO THE RULLING PARTY'S INFLUENCE RATHER THAN CONSIDERING THE NATIONAL INERESTS)You will therefore come to the conclusion that..THE RULLING PARTY HAS MORE INFLUENCE THAN THE PARLIAMENT?Rev. KIshoka,
Ni kifunga gani hicho cha katiba ya CCM kinasema hivyo? Katiba iko online, ingelikuwa vizuri kama ungecheck kwanza kabla ya kuja na dai kubwa kama hilo.
Katiba ya CCM na pia vyama vingine vya siasa Tanzania hazina kitu kama hacho.
Nakushauri uisome tena. CCM wana makosa mengi sana lakini inabidi tuwafunge kamba kwa facts na sio kuweka hata mambo ambayo hayapo. Tukifanya hivyo na sisi tunageuka na kuwa sawa na hao CCM
Mkuu Wangu Kishoka,
Heshima mbele mkuu, maneno yako hapo juu mengi ni kweli isipokuwa tu hujasema tatizo lilipoanzia mpaka tukafikia hapa tulipo. Toka tulikotoka TANU/CCM kilikuwa ni chama kilichokuwa chini ya uongozi wa kiongozi mmoja, viongozi wengine wote walikuwa wameaminishwa kuwa hawakuwa na uwezo wa kuweza kuwa viongozi wa kufikiri independently, wananchi wote tulikuwa tunafuata idea za huyu kiongozi mmoja, bila ya kuuliza wala kukataa, sasa siku alipoondoka ulitegemea itokee miujiza?
I mean, matatizo tuliyonayo sasa as a nation, ni yetu wenyewe lakini unapotaka kwenda deep as of your analysis kwa maoni yangu ni we have to go deep pia kutafuta why tupo tulipo, kabla ya kutafuta solution. Ukweli ni kwamba matatizo yetu ni vivuli vyetu wenyewe taifa zima no one to be spared. Baada ya kututawala for about 23 years chini ya chama kimoja, one day the kiongozi akaamua kutoka, akatuchagulia wa kumrithi ambaye wa all know kuwa hakuwa na uwezo wa kutosha kama tulivyoambiwa, lakini haikutosha kiongozi akatuchagulia tena kiongozi mwingine, huyu sasa ndiye hasa aliyechangia big time kutufikisha tulipo, lakini na yeye pia akatuchagulia kiongozi tuliye naye sasa, OH my God!
Now here we are, a confused nation with absolutely no idea tunachofanya, then comes wananchi kama wewe na ku-act as if you are from the Mars, kwamba haya matatizo tuliyonayo yameanza jana au juzi, kumbe unajua ukweli kuwa ni malimbikizo ya uongozi mbovu toka tulipopata uhuru, na wananchi tusioelewa kitu kuhusu nchi yetu wenyewe! Idea ya kuiweka CCM mbele kuliko taifa be honest mkuu viongozi wetu wameitoa wapi kama sio kwa waliowatangulia? Wakati hizi tabia zinapandiwa mbegu wananchi tulikuwa so happy about it bila ya kujua kuwa zilikuwa ni mbegu mbaya sana kwa our nation's future, kuna waliojaribu kuonya lakini wakatupwa na tukaambiwa ni viongozi wabaya sana na hawafai, sasa kwa sababu alisema tuliyemuamini na taifa letu ikawa amina, we never questioned the leader, I mean haiwezekani kuwa viongozi kuanzia Kambona, Karume, Bibi Titi, Eli Anangisye, Kassanga Ntumbo, Chief Fundikira, Bakari Seif, Seif Hamadi, Aboud Jumbe, Dr. Masha, walikuwa hawana vision au akili ya kujua kuwa baadhi ya maamuzi yaliyokuwa yakifanywa huko nyuma yalikuwa na madhara mbele ya safari,
Mkuu I can go on and on, lakini the messaage is the same kuwa hatuko hapa kwa bahati mbaya, na wote yaaani taifa zima tumehusika kwa njia moja au nyingine kufika tulipo, sasa tunahitaji kutafuta njia za kujitoa tulipo, lakini still either hatuelewi how, au hatuaminiani kiasi kwamba tuko radhi kuwaacha hao hao waliohusika kwa karibu kutufikisha hapa tulipo waendelee na uongozi, I mean CCM ni chama cha siasa sio cha dini au charity, so is Chadema au CUF, sasa kama kila anyeeenda kuingia kwenye uongozi anaishia kuwa sawa na wale wa zamani, inasema nini kuhusu sisi wananchi?
Mkuu ninakubaliana sana na analysis yako nzito kuhusu CCM, isipokuwa tu nina tatizo kuwa hukuangalia deeep kuona matatizo ya viongozi wetu ndani ya CCM yametokea wapi, na pia hutoi mapendekezo ya kutosha of what to do next, maana nina wasi wasi kuwa hiyo inaweza kutufanya wote tukawa part of the very problem we are trying to address, kwa sababu hatutoi applicable solution ambazo ni fit kwa mazingara yetu kijamii na kisiasa, na pia hatusemi na kukubali kuwa tumefikaje tulipo.
Sikusema kuwa CCM inachofanya ni sawa, isipokuwa nimesema kuwa tuwapewe nafasi kwanza, maana recently angalau wameonyesha kuanza kubadilika pole pole, as opposed na kasi ambayo tungependa wawe nayo kwenye kubadilika.
Ahsante Mkuu