Kutoka Butiama: Exclusive news

Kutoka Butiama: Exclusive news

kuwekwa mbele nafikiri ni kwa maana kwamba chama kitumikie serikali (ndio maana chama kimewekwa mbele) maana lazima uwe na chama kuendesha serikali (najua pia kuna independents) lakini kwa mtazamo wangu ni kwamba ukiweka serikali mbele, then itabidi utumikie chama !

..this reads like a spin to me!
 
Naomba kuuliza swali moja kwa JK. Tangu aingie madarakani, atutajie kitu kimoja tu kikubwa na cha manufaa kwa uchumi wa taifa hili ambacho amekifanya. Hapa nazungumzia Uchumi.

..bilioni moja za JK kila mkoa!
 
Sina hakika kuhusu authenticity na accuracy ya hii post, lakini kama ni kweli basi Mwinyi ataenda down in history kama statesman na Kikwete asipoangalia anaweza kukosa nomination ya CCM come 2010.

..pundit,

..nashauri habari hizi zifuatiliwe zaidi,inaonekana kuna ukweli fulani na kama ndivyo,basi ccm imebakia jina tu!
 
..labda mkoani kwenu,musoma internet ipo!
..taja mikoa ambayo haina internet tz?

Huo wa Musoma icho kitu hakuna kabisa , naamini unataka kujilabu tu,lakini nakumbuka nikitokea mwanza na kupitia musoma na kukatiza serengeti tukatokea manyara ,Musoma ni vibanda banda tu vilivyotawanyika hapa na pale , embu lete picha za sasa za mji wa Musoma nione kama kuna mabadiliko ,mwaka niliopita hapo ni 1980 tukitokea kwenye mapigano na Uganda,halafu unimegee ni shirika gani lenye mitambo ya Internate hapo au wamepata wafadhili kutoka Kenya.
 
..duh!pole mtu wangu!

..to start with,huo mwaka tz nzima haikuwa na internet!

..halafu maeneo mengi tz yalikuwa vibanda vibanda kama unavyoita nyumba za wenzio!

..hamna wafadhili[wahisani,mfadhili ni mwenyaazi mungu pekee]toka kenya,ila kuna project ya kusambaza internet vijijini ina wahisani toka nordic. kuna ttcl , vodacom na celtel.

..swali litakuwa network coverage!

..karibu sana!
 
Ndugu zangu mkumbuke kuwa sasa hivi kuna mobile internet connections ambazo unaweza kuyeya nazo popote, as long as mitambo ya TTCL ipo. Lakini ni lazima mjue kuwa ita was deliberate attempt kudumaza mawsiliano ili muweze kutawaliwa vizuri.
 
Ni kweli tusikatae kuwa tunaishi kwenye vibanda vibanda tu, serikali yetu haina sera madhubuti inayetekelezeka kuhusu mpiango miji na makazi, iliyopo sio effective na ni ya kiswahi swahili tu. NI kweli tunaishi kwenye vibanda tu, wenyewe wanaoishi kwenye nyumba wako huko mbezi kwenye mahekalu waliyojengwa kwa pesa za EPA etc etc, tusikatae.
 
..tunaishi? wakina nani?

..nadhani pamoja na kwamba wapo wanaoishi kwenye mabanda au vibanda zaidi ya mifugo,lakini nyumba zipo tena nyingi. sasa,hayo mahekalu mimi siko!

..ila,mipango miji niko nawe. issue nyingine na kwenye viwango vya vyumba zetu!
 
..duh!pole mtu wangu!

..to start with,huo mwaka tz nzima haikuwa na internet!

..halafu maeneo mengi tz yalikuwa vibanda vibanda kama unavyoita nyumba za wenzio!

..hamna wafadhili[wahisani,mfadhili ni mwenyaazi mungu pekee]toka kenya,ila kuna project ya kusambaza internet vijijini ina wahisani toka nordic. kuna ttcl , vodacom na celtel.

..swali litakuwa network coverage!

..karibu sana!
Ndio hapo hapo ulipo simama network coverage ,ila kama unatumia vyombo vya angani basi bei yake si ndogo na sidhani kama wenye uwezo wa kutumia aina hiyo ya internate wapo au wamishafika huko.
Hivyo bado suali lipo palepale ,si unaona hadi dakika hii hakuna chochote kilichojiri na mvua hizi mawasiliano ni sifuri ,itabidi tungoje mpaka jamaa waanze kutoka na kurudi kwenye milingoti ya simu au antena.
 
Hivi Butiama hakuna networks za mobile companies?

Au ni kweli CCM wameshauri zote zizimwe? Naona hii kimya sio ya kawaida.
 
Si ndio hapo hakuna latest news ni nini kinaendelea kwa dadi (Butiama)....lakini bila shaka Mzee MKJJ atakua ashajipenyeza hadi ndani na anasubiri kieleweke....kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...........
 
..

tunaishi? wakina nani?

..nadhani pamoja na kwamba wapo wanaoishi kwenye mabanda au vibanda zaidi ya mifugo,lakini nyumba zipo tena nyingi. sasa, hayo mahekalu mimi siko!

..ila,mipango miji niko nawe. issue nyingine na kwenye viwango vya vyumba zetu!

Mkuu nakupata ni kisema tunaishi inawezekana kuwa wewe humo, lakini mimi na mjoma wangu massanja, Kuvyaka, Chilau na wengine "nyumba" ambazo bibi yangu akitoka kule nyalugusu akiona inaumeme anaona nyumba sana, lakini ukweli kwa decent standards ni banda tu, japo ni zuri zaidi kuliko alalolalia ng'ombe.
Wanaoishi kwenye NYUMBA zinazoonekana kule Mbezi beach na kwingineko wao ndio wanastahili kujidai kuwa wanaishi kwenye nyuma, mimi kwangu hata kuingiza gari mpaka kuwe na mtu mbele anenielekeza nisijekugonga ukuta, hata ajali ya moto ikitokea gari za zima moto haliwezi kufika, maji yenye ya DAWASCO kuyapata ni mara moja kwa wiki, ndio maana najiweka kwenye kundi la wanaoshi kwenye mabanda.
Najua nimechanganya wengi kimakosa, unajua tena
 
Vijana waliowapokea wakubwa huko Butiama , Chipukizi wakiwa wameshika magobole fake ..sijui ni ujumbe gani wanaowafundisha hawa watoto.

[media]http://bp1.blogger.com/_mnq0IaLJvsI/R-4uE98utrI/AAAAAAAABKw/wlrUoLuQ6pg/s1600-h/1.JPG[/media]

Watoto hawa walitumika na kuondoka kwenda kushinda na njaa na shule sijui kama wana karo ila umuhimu wao ni hapo wanapo wataka na kama wako shule wanakaa chini .Ujumbe gani kwa watoto wenzao is not important to CCM crooks .Wao wanajali mambo yao wakutumie basi .
 
kuwekwa mbele nafikiri ni kwa maana kwamba chama kitumikie serikali (ndio maana chama kimewekwa mbele) maana lazima uwe na chama kuendesha serikali (najua pia kuna independents) lakini kwa mtazamo wangu ni kwamba ukiweka serikali mbele, then itabidi utumikie chama !

sasa mnataka katiba ibadilike serikali iwekwe mbele kutumikia chama au vice versa ?

Mimi ninachotaka ni taifa kuwekwa mbele ya chama. Unapofanya hivyo basi hutasita kutofautiana na kupingana na chama pale unapoona maslahi ya taifa hayapewi kipaumbele. Utii wowote ule wa vyama vya kisiasa lazima uwe kwa taifa kwanza.
 
Atakuambia amemleta rais Bush. Kwao rais Bush na ombaomba ya misaada ndio uchumi.

Tuna tatizo kubwa sana.

No, kamteua yule gavana mpya wa benki kuu aliyefanya maajabu na kufanya shilingi ipande thamani...
 
No, kamteua yule gavana mpya wa benki kuu aliyefanya maajabu na kufanya shilingi ipande thamani...
Huwaga naamini ile kauli ya watu wengi isemayo WaTanzania ni watu wa ajabu sana ,naamini kabisa kama sisi ni watu wa ajabu ila wengi wetu bado hatujajijua.Ila tukijijua tutakuwa hatuumbuani ,tutaona tu mwenzetu kawahi kufanya mauza uza yake.
 
Mtanzania, mheshimiwa sitaki kuweka kifungu hicho cha Katiba hapa ili watu wao wenyewe waende waisome. Narudia tena, kwa mujibu wa Katiba ya CCM mwanachama wa CCM jukumu lake la kwanza ni kwa CCM na si kwa nchi. Someni Katiba inapatikana hapa: http://www.ccmtz.org

Habari zinazoingia kutoka Butiama ni kuwa kikao kimeisha na hakuna maamuzi yoyote makubwa yale ya kuitikisa ccm au chama.. sijajua ni kwanini yaweza kuwa wameamua kuahirisha maamuzi hayo wakijiandaa na Kikao Maalum au wanataka yafanyiwe kazi kwanza..
 
Back
Top Bottom