DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
kuwekwa mbele nafikiri ni kwa maana kwamba chama kitumikie serikali (ndio maana chama kimewekwa mbele) maana lazima uwe na chama kuendesha serikali (najua pia kuna independents) lakini kwa mtazamo wangu ni kwamba ukiweka serikali mbele, then itabidi utumikie chama !
Kweli Butiama inaweza kuwa Begining of the End.
Naomba kuuliza swali moja kwa JK. Tangu aingie madarakani, atutajie kitu kimoja tu kikubwa na cha manufaa kwa uchumi wa taifa hili ambacho amekifanya. Hapa nazungumzia Uchumi.
Sina hakika kuhusu authenticity na accuracy ya hii post, lakini kama ni kweli basi Mwinyi ataenda down in history kama statesman na Kikwete asipoangalia anaweza kukosa nomination ya CCM come 2010.
..labda mkoani kwenu,musoma internet ipo!
..taja mikoa ambayo haina internet tz?
Huo wa Musoma icho kitu hakuna kabisa , naamini unataka kujilabu tu,lakini nakumbuka nikitokea mwanza na kupitia musoma na kukatiza serengeti tukatokea manyara ,Musoma ni vibanda banda tu vilivyotawanyika hapa na pale , embu lete picha za sasa za mji wa Musoma nione kama kuna mabadiliko ,mwaka niliopita hapo ni 1980 tukitokea kwenye mapigano na Uganda,halafu unimegee ni shirika gani lenye mitambo ya Internate hapo au wamepata wafadhili kutoka Kenya.
Ni kweli tusikatae kuwa tunaishi kwenye vibanda vibanda tu, serikali yetu haina sera madhubuti inayetekelezeka kuhusu mpiango miji na makazi, iliyopo sio effective na ni ya kiswahi swahili tu. NI kweli tunaishi kwenye vibanda tu, wenyewe wanaoishi kwenye nyumba wako huko mbezi kwenye mahekalu waliyojengwa kwa pesa za EPA etc etc, tusikatae.
Ndio hapo hapo ulipo simama network coverage ,ila kama unatumia vyombo vya angani basi bei yake si ndogo na sidhani kama wenye uwezo wa kutumia aina hiyo ya internate wapo au wamishafika huko...duh!pole mtu wangu!
..to start with,huo mwaka tz nzima haikuwa na internet!
..halafu maeneo mengi tz yalikuwa vibanda vibanda kama unavyoita nyumba za wenzio!
..hamna wafadhili[wahisani,mfadhili ni mwenyaazi mungu pekee]toka kenya,ila kuna project ya kusambaza internet vijijini ina wahisani toka nordic. kuna ttcl , vodacom na celtel.
..swali litakuwa network coverage!
..karibu sana!
..
tunaishi? wakina nani?
..nadhani pamoja na kwamba wapo wanaoishi kwenye mabanda au vibanda zaidi ya mifugo,lakini nyumba zipo tena nyingi. sasa, hayo mahekalu mimi siko!
..ila,mipango miji niko nawe. issue nyingine na kwenye viwango vya vyumba zetu!
Vijana waliowapokea wakubwa huko Butiama , Chipukizi wakiwa wameshika magobole fake ..sijui ni ujumbe gani wanaowafundisha hawa watoto.
[media]http://bp1.blogger.com/_mnq0IaLJvsI/R-4uE98utrI/AAAAAAAABKw/wlrUoLuQ6pg/s1600-h/1.JPG[/media]
kuwekwa mbele nafikiri ni kwa maana kwamba chama kitumikie serikali (ndio maana chama kimewekwa mbele) maana lazima uwe na chama kuendesha serikali (najua pia kuna independents) lakini kwa mtazamo wangu ni kwamba ukiweka serikali mbele, then itabidi utumikie chama !
sasa mnataka katiba ibadilike serikali iwekwe mbele kutumikia chama au vice versa ?
Atakuambia amemleta rais Bush. Kwao rais Bush na ombaomba ya misaada ndio uchumi.
Tuna tatizo kubwa sana.
Huwaga naamini ile kauli ya watu wengi isemayo WaTanzania ni watu wa ajabu sana ,naamini kabisa kama sisi ni watu wa ajabu ila wengi wetu bado hatujajijua.Ila tukijijua tutakuwa hatuumbuani ,tutaona tu mwenzetu kawahi kufanya mauza uza yake.No, kamteua yule gavana mpya wa benki kuu aliyefanya maajabu na kufanya shilingi ipande thamani...