Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mkuu kipengele cha 13 hadi 21 mbona hujaviorodhesha?
mwisho utaniambia mbona sijaweka Katiba nzima!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kipengele cha 13 hadi 21 mbona hujaviorodhesha?
mkuu kipengele cha 13 hadi 21 mbona hujaviorodhesha?
yote ni sehemu ya uchambuzi wa habari Mtu wa Pwani, kwani nani kasema tuko katika mashindano? Tatizo ni nyinyi ambao mnasubiri mwanakijiji aboronge ili mumshushue lakini akiwa sawa mnapata kigugumizi. Well, nimejifunza kuishi na pande zote mbili za maisha.
Yetu masikio, kama watatekeleza majukumu yao...Nimenote kitu cha ziada hapa mkuu,uchama dola wa ccm,yaani hata sasa ccm ndio msimamizi wa shughuli za usalama wa Taifa ndani ya mfumo wa vyama vingi!!!! na je siku kisipokuwa chama tawala NEC itaendelea kuwa na jukumu hilo?
Mzee MWANAKIJIJI
Kama kikao hicho cha BUTI AMA itatokea nyumba ya mafisadi lisisalie jiwe juu ya jiwe,YOTE yaondoshwe,Basi ni hatua njema kwa mstakabali wa Taifa letu hasa katika uchumi wetu na maendeleo kwa ujumla.
Pia kubomoa hiyo nyumba ya mafisadi na msingi wake nachelea kusema inahitajika gharama kubwa ya Mtukufu Rais kujikana kwa dhairi mbele ya mikutano hiyo ya chama na kubeba tena dira iliyoanguka shimoni MWA EPA NA RICHMOND ya kuwaletea wananchi maisha bora kuelekea kupunguza bei ya umeme na mafuta ya petrol ili wadanganyika waone wanaishi nchini kwao
NINGEPENDA UNISAIDIE KUTO TUMIA HILI NENO mtukufu rais
Lina tatizo gani neno MTUKUFU RAIS
Hivi hata nyeti za kikao zimeshindwa kutufikia kirahisi,Nafikiri tunatakiwa kuwa karibu ilituweze kupata ukweli zaidi kinachoendelea ili nasi tusijedanganywa.
TUANDAME.
Nakushauri wewe usiyejua maana ya neno mtukufu na linatumika wapi ukabukue wala si kupekua.Nimelitumia na nina uhakika JK ana sifa ya kuitwa hivyo.Au ulidhani linatumika Kenya tu????
Ngoja tusubiri matokeo,labda kule kuzuru kaburi la hayati Baba wa Taifa kutafanya waoge maana wananuka ufisadi