T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Naomba kwenye mchakato huu itokee mtu fulani apate kaugonjwa kadogo tu aka ili akajifukishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwambie Mheshimiwa Magufuli Kuwa Sisi Sector ya Utalii tunateseka Kutoka Mshahara wa mwezi hadi wa Siku tuko hali Mbaya. Atoe Fungu kwa ajili Yetu. Aondoe Madeni ya Kodi wakati Huu. Bili za Umeme wa Viwandani Zipunguzwe.Magufuli kiboko!.
Aliichunguza maabara kwa kupeleka samples mambalimbali kwa siri kwa kuzipa majina ya uongo ya binaadamu, sample ya papai ikakutwa ni positive!.
P
Hivi kutaja ugonjwa wa marehemu ni ethical kweli?Watanzania tusimame imara, Corona kweli ipo, lakini tusimame imara, tusitishwe.
Sio kila anayekufa ni Corona!. Jaji Mkuu Mstaafu amekufa kwa cancer na sio Corona!.
P
Hii ndio raha ya kua na kiongozi mwenye uwezo mkubwa kichwani safi Sana Magufuli.Magufuli kiboko!.
Aliichunguza maabara kwa kupeleka samples mambalimbali kwa siri kwa kuzipa majina ya uongo ya binaadamu, sample ya papai ikakutwa ni positive!.
P
App ndipo utagundua upinzani wanatatizo kichwani. Mungu mbariki MagufuliRais Magufuli amesisitiza Tanzania vifo ni watu 16 tuu!. Kuna mtu alishauri tufunge masoko!. Watu wakanunue wapi vyakula. Msipelekwe na mihemuko ya watu short sighted!.
P
Sawa mkuu.Mimi ni mwanasayani ninajua ninachokizungumza.
Tusitishane!.
Wanasiasa msiitumie Corona kujitafutia mtaji wa kisiasa.
P
Kabisa aisee duhDuh!...hii kali.
Aliyeiloga hii nchi alitenda dhambi mbaya Sana.
You would be surprisedUmeenda mbali sana rafiki. Maiga was no more a threat to even his beautiful wife. He was toothless. Fitina ya nini Sasa? Ni sawa na Mrema au Cheyo wa Leo. Hizo condom zimetepeta ndugu.
Wengi tupo pamoja nae imara ila BAVICHA wanavuta shati nyuma.Corona ni changamoto, tumtegemee Mungu, tutashinda. Simameni imara, ugonjwa utapita.
P