Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Naomba kwenye mchakato huu itokee mtu fulani apate kaugonjwa kadogo tu aka ili akajifukishe.
 
Magufuli kiboko!.
Aliichunguza maabara kwa kupeleka samples mambalimbali kwa siri kwa kuzipa majina ya uongo ya binaadamu, sample ya papai ikakutwa ni positive!.
P
Mkuu Mwambie Mheshimiwa Magufuli Kuwa Sisi Sector ya Utalii tunateseka Kutoka Mshahara wa mwezi hadi wa Siku tuko hali Mbaya. Atoe Fungu kwa ajili Yetu. Aondoe Madeni ya Kodi wakati Huu. Bili za Umeme wa Viwandani Zipunguzwe.

Kampuni ziwe Funded Ziweze kutulipa wakati Huu.
 
Magufuli kiboko!.
Aliichunguza maabara kwa kupeleka samples mambalimbali kwa siri kwa kuzipa majina ya uongo ya binaadamu, sample ya papai ikakutwa ni positive!.
P
Hii ndio raha ya kua na kiongozi mwenye uwezo mkubwa kichwani safi Sana Magufuli.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Corona ni changamoto, tumtegemee Mungu, tutashinda. Simameni imara, ugonjwa utapita.
P
 
Rais Magufuli amesisitiza Tanzania vifo ni watu 16 tuu!. Kuna mtu alishauri tufunge masoko!. Watu wakanunue wapi vyakula. Msipelekwe na mihemuko ya watu short sighted!.
P
App ndipo utagundua upinzani wanatatizo kichwani. Mungu mbariki Magufuli

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Umeenda mbali sana rafiki. Maiga was no more a threat to even his beautiful wife. He was toothless. Fitina ya nini Sasa? Ni sawa na Mrema au Cheyo wa Leo. Hizo condom zimetepeta ndugu.
You would be surprised
 
"Leo hii ukizungumzia mtu wa UKIMWI, hata wengine wanaenda kuposa na kuoa na maisha yanaendelea,ni kwasababu hofu iliondoka".Rais Magufuli....hilarious
 
Azungumzia uwepo wake Chato. Wakati wa vita ni wakati wa vita tushikamane!.
Wabunge watakao goma kuingia Bungeni hawatalipwa posho. Rais Magufuli ameisha toa maelekezo.
P
 
Back
Top Bottom